Health Issues

Health Issues

Share

01/08/2023

*PID( PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
-Haya ni maambukizi ya bakteria wabaya kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke.
-Maambukizi haya hupelekea uharibifu mkubwa kwenye mfuko wa uzazi wa uzazi, mirija ya uzazi au sehemu nyingine za uzazi wa mwanamke pia ni chanzo cha ugumba.

DALILI ZA MAAMBUKIZI KWENYE MFUMO WA UZAZI WA MWANAUMKE( PID)
1.Maumivu makali ya nyonga, tumbo au chini ya kitovu.
2.Kutoka maji maji yasiyo ya kawaida yenye harufu mbaya.
3. Kutoka maji maji yasiyo ya kawaida baada ya kufanya tendo la ndoa au baada ya kuingia hedhi.
4. Maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa.
5. Homa kali
6. Maumivu kipindi cha kukojoa, kukojoa mara kwa mara, kukojoa kwa shida.
7.Maumivu makali chini ya kitovu, kichefuchefu, kutapika, homa kali kupita kiasi.
8. Kutokwa na uchafu sehemu ya siri wa rangi ya maziwa mtindi, kijani au mweupe unaoambatana na harufu kali.

MADHARA YA PID
1. Kupata ugumba na kupata utasa.
2. Kukosa kujiamini.
3. Mimba kutoka.
4.kuharibu mfumo wa uzazi.
5. Kuvurugika kwa homoni na mtu huanza kupata hedhi isiyo na mpangilio.
6. Kati ya wanawake 10 waliathiriwa na PID, Mmoja anakuwa tasa kwasababu ya PID hupelekea makovu kwenye mirija ya uzazi.
7. Kutofurahia tendo la ndoa.

KWA MAHITAJI NA USHAURI
🇹🇿0693653573

23/07/2023

Hii si ya kukosa kwa ajili ya kila mtu kwenye familia hasa watoto.Inaondoa mafua makali,uchovu unaotokana na safari,kichwa kuuma,kutuliza maumivu ya viungo na pia ukiipaka mbu hakusogolei hata...Ina faida nyingi mnoo..
Tunazitoa kwa dozen(12)

Kwa mahitaji piga/whatsapp 0693653573

17/07/2023

SULUHISHO LA KUDUMU LA CHANGAMOTO YA VIUNGO
Je,unafahamu athari ya kudungwa sindano au kufanyiwa operation ya kwenye goti?Usisubiri kufikia stage hii.
Iwapo unapitia changamoto ya goti kuwa na maumivu makali,kupiga kelele au kushindwa kulikunja basi fahamu kuwa suluhisho la kudumu lipo bila operation,sindano au kumeza dawa za maumivu..
Wasiliana kwa kupiga/whatsapp 0693653573 kwa ushauri zaidi

Health Issues A healthy body is a wealthy body

02/03/2023

SULUHISHO LA KUDUMU LA CHANGAMOTO YA MAUMIVU YA MIFUPA NA MAUNGIO KULIKA
+255 693653573

Changamoto hizi za maumivu makali ya mifupa na maungio kusagana husababishwa na
👉Ukosefu wa uteute kwenye maungio na kulika kwa gegedu na kupelekea mifupa kugusana

VYANZO VINGINE NI K**A IFUATAVYO
1;Kutumikisha viungo kupita kiasi
Mf,Michezo,riadha, mazoezi nk
2; Umri mkubwa 40+
3; Uzito uliopitiliza
4; Kurithi
5; Ukosefu wa calcium.
6;Kupata Ajali

GEGEDU NA UTEUTE VIKIKOSEKANA HUPELEKEA MIFUPA KUSAGANA NA KUSABABISHA

1; Maumivu makali ya mgongo
2; Maumivu makali ya nyonga
3; Maumivu makali ya magoti
4; Maumivu makali ya bega

CHUKUA HATUA MAPEMA KUEPUKA
1; Saratani ya mifupa
2; Ulemavu

KWA USHAURI ZAIDI
+255 693653573

Health Issues A healthy body is a wealthy body

01/02/2023

Epuka madhara makubwa ya badae kwa kutatua changamoto ya viungo kwa njia rahisi na nafuu

Wasiliana nasi kwa kupiga/whatsapp 0693653573

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam