Libeson tz

Libeson tz

Share

20/04/2026

Asanteni Sana Kwa sapoti Yenu Wimbo wenu umefikisha wa Sikilizaji 1000 YouTube ☺️ Hakika Huu wimbo Umenifanya Niamini kuwa Nina watu ambao wanani sapoti Japo nilikaa mda mrefu bila kuwa active Ila bado mumeamua wimbo ufike mbali Asanteni sana ☺️ Endeleeni kuni sapoti mi kijana wenu mshichoke kunipa sapoti πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™


β€οΈπŸ’žβ€οΈ

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Tanzania οΏ½
Dar Es Salaam
MUSIC