dassparetz
✨ Boresha muonekano wa gari lako kwa Show Grille yenye ubora wa hali ya juu!
Muonekano wa kisasa, uimara wa kudumu na fitting sahihi kwa gari lako. Tembelea DAS SPARE upate spare parts za uhakika kwa magari ya Ulaya.
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
04/06/2026
Sherehekea nasi miaka 5 ya DAS SPARE kwa ofa maalum kwa wateja wetu. Nunua Service Kit na upate:
✅ Free Delivery
✅ Free Service
Tunakuletea spare parts halisi na huduma bora kwa magari ya Ulaya k**a Mercedes-Benz, BMW, Audi, Volkswagen na Bentley.
📍 Mwenge, Near TRA Office
📞 +255 678 705 805 / +255 766 705 805
DAS SPARE – 5 Years of Excellence, Trust, Quality & Performance. 🔵⚪️
🚗✨
02/06/2026
Boresha muonekano wa gari lako kwa Mercedes hood star yenye ubora wa hali ya juu. Muonekano wa kifahari unaoendana na hadhi ya gari lako, huku ukidumisha mwonekano wa asili wa Mercedes-Benz.
📍 Mwenge, Near TRA Office
📞 +255 678 705 805 | +255 766 705 805
📦 Tunafanya delivery nchi nzima.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mwenge Tra Road
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| Tuesday | 08:00 - 20:00 |
| Wednesday | 08:00 - 20:00 |
| Thursday | 09:00 - 20:00 |
| Friday | 08:00 - 20:00 |
| Saturday | 08:00 - 20:00 |
| Sunday | 10:00 - 17:00 |