MamaPinky_Accessories

MamaPinky_Accessories

Share

25/04/2026

NAMNA AMBAVYO ACID REFLUX HUATHIRI MIFUMO MINGINE YA MWILI:

Acid reflux ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (Gastrointestinal system) na kuathiri mifumo mingine ya mwili.

Mifumo ya mwili inayoathiriwa na acid ni k**a ifuatavyo :⤵️⤵️

1. Mfumo wa fahamu *(Central nervous system)*
2. Mfumo wa moyo *(Cardiovascular system)*
3. Mfumo wa upumuaji *(Respiratory system)*
4. Mfumo wa mifupa na misuli *(Musculoskeletal system)*
5. Mfumo wa pua,koo na masikio *(ENT)*

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA FAHAMU UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Kusahau mara kwa mara.
2. Macho kupunguza uwezo wa kuona.
3. Kupata ganzi kwenye vidole vya mikono na miguu
4. Kuhisi kuchanganyikiwa *(CONFUSION)*
5. Mwili kuchoma choma
6. Kuwa na wasiwasi na khofu bila sababu za msingi

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MOYO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kupaparika ( *Heart palpitations)*
2. Presha kupanda *(temporary hypertension)*
3. Kupata Kizunguzungu
4. Maumivu ya kifua
5. Kupata ganzi mkono wa kushoto
6. Kuhisi Mapigo ya moyo yapo chini sana

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA UPUMUAJI UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Kupumua kwa shida.
2. Mafua ya mara kwa mara
3. Kupata kwikwi za mara kwa mara
4. Mafua yasiyoisha
5. Kikohozi kisichoisha
6. Maumivu makali ya kifua

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MISULI NA MIFUPA UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Maumivu makali ya mgongo.
2. Maumivu ya viungo.
3. Kuchoka mara kwa mara.
4. Sehemu za mwili kuchezacheza k**a vile chini ya macho nk.

DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA PUA, MASIKIO NA KOO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:

1. Maumivu makali ya koo.
2. Kuhisi kitu kimekwama kooni.
3. Kupata Tonsillitis *(mafidofido)* mara kwa mara.
4. Kupata ugumu wa kumeza chakula.
5. Kuhisi masikio mazito.
6. Masikio kupiga kelele.
7. Mafua yasiyoisha.

Kwa tiba na ushauri wasiliana nasi.
0713 609 932

*K**a wapitia dalili hizi njoo inbox

19/03/2026

💢CHOO K**A MAVI YA MBUZI SABABU NI NINI?

Ulishaona mtu anaenda chooni anatoa haja kubwa inayofanana na choo cha mbuzi?

Yaani choo k**a kinakua k**a na vigoroli au vimawe vidogo vidogo.

Hii inatokea k**a:-

-Hunywi maji ya kutosha

-Huli mboga za majani

-Huli matunda

-Hufanyi mazoezi au muda mrefu umekaa sehemu moja.

Huambatana na"-

Kujikamua wakati wa haja kubwa

Tumbo kujaa gesi

Kuhisi k**a choo hakijaisha baada ya kujisaidia

💢Chakufanya*:-

Kunywa maji mengi walau lita 2 kwa siku

Kwa siku usikose mboga za
majani, Matunda, karanga,korosho nk

Fanya mazoezi mepesi k**a Kutembea Na Kuruka Kamba

“*By The Way*” K**a Unasumbuliwa Na Bawasiri Na Choo Kigumu Kwa Muda Mrefu tunadawa ambayo ukitumia utapona mala moja

💢Usisahau Kwamba Bawasiri Ukiipuuzia Itakuletea shida Kubwa Mno Katika afya ya Uzazi kwa wanaume Kidudu Kinaweza Kikashindwa Kusimama kabisa_0713609932

16/03/2026

JINSI YA KUTUNZA NA KUTIBU NGOZI NA ANATIC HERBAL SOAP
Ni sabuni ya asili iliyotengenezwa kwa asali, green tea(majani ya chai), mbegu za zabibu.
*HAINA KEMIKALI* zimetengenezwa katika maabara na kuthibitishwa Nchini Marekani(FDA) na TFDA(Tanzania) hufanya kazi nyingi na maajabu.

1⃣_ *KUONDOA CHUNUSI SUGU NA MADOA YALIYOSHINDIKANA* .,
hutengeneza seli zilizokufa kwa kuondoa rangi ya madoa, alama za kuungua katika ngozi na kupunguza mlundikano wa mafuta unaosababisha chunusi zisizokwisha.

*2⃣_HUTUMIKA KUSHEVIA NA KUONDOA HARUFU MBAYA YA JASHO KALI* (kikwapa)
ukitumia kushevia italinda hali ya kutoka na mapele yatokanayo na wembe, na huyaponya yote k**a tayari yalishatokea,

*3⃣_HUONDOA WEUSI MAKWAPANI NA SEHEMU ZA SIRI .,*
Huondoa rangi yote isiyohitajika katika ngoz na kuiacha rangi moja tu yenye kupendeza ikibaki na asili yake

*4⃣_HUONDOA MIKUNYANZI
hupambana na hali ya ngozi kuchoka mapema na kurudisha unyevunyevu katka ngoz kwa kuondoa mikunjo mikunjo

*5⃣_HUTIBU FANGASI ZA MIGUU NA MAGAGA .*
huondoa ngozi iliyofubaa kwa kuondoa magaga madogo madogo na fangasi za miguu kwa wale wanaovaa viatu kwa muda mrefu.

*6⃣_HUTIBU M,BA MAPUNYE NA UTANGOTANGO*
Inafaa sana kwa watoto wenye mapunye, inayatibu na kuimarisha ngozi zao kwani ni tofaut na sabun za kawaida, hali kadhalika hutumika kuoshea nywele kwa wenye m,ba kichwani na kuondoa utangatanga kwa jinsia zote.

*7⃣_TUMIA KWA ULINZI TOSHA WA NGOZI YAKO .*
pia unaweza kuitumia hata k**a hauna tatizo lolote, kwani ni tofauti kabisa na sabuni nyingine., Inaharufu nzuri pia huondoa hali ya miwasho mwilini.
*INAPATIKANA KWA GHARAMA YA TSHS 15,000/= delivery ipo
Call/Text/WhatsApp upate yako leo. 0713609932.

20/10/2025

NTDiarr Pills
Nini Maana Ya Antidiarr pills ?
Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kiasili na ni maarufu kwa kuitwa Magical pills for Diarrhea
VIAMBATA VYAKE👇
☆ Creosote
☆ Cortex phellodendri chinensis
☆ Cortex cinnamomi
☆ Flos caryophylli
☆ Pericarpium citri reticulate
☆ Menthol
☆ Radix et rhizoma glycyrrhizae.
Kwa ujumla wa viambata hivi kirutubisho hiki kinafaida kubwa katika mwili
FAIDA ZA NTDIARR

● Huondoa mvurugiko wa tumbo

●Huondoa kwa haraka maumivu makali ya tumbo

●Inazuia na kuondoa hali ya mtu kuhara

● Humsaidia mtu anayejisikia kichefuchefu na kutapika

● Huzuia na kuondoa hali ya tumbo kujaa gesi

● Husaidia kupunguza maumivu ya jino

● Husaidia kuondoa vidonda vya tumbo ikitumika na Constirelax prebiotics

● Husaidia Kupunguza maumivu ya period

●Huimarisha zaidi mfumo wa chakula

Kopo 1 Elfu 10,000/= Full doses ni Kopo 3. PLACE UR ORDER CALL/TEXT/WHATSAPP 0713609932.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dar Es Salaam