Baajun Health CARE
28/09/2022
MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria), kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:
◇ Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
◇ Mimba kuharibika mara kwa mara;
◇ Kukosa mtoto au Ugumba
◇ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
◇ Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
◇ UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
◇ Kuzeeka mapema
◇ Kuziba kwa mirija ya uzazi
◇ Saratani
◇ Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)
KWA USHAURI NA TIBA PIGA SIMU NO:-
0757 923 300
AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE NI MTAJI WA MWANAMKE
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam