SHANI Events

SHANI Events

Share

13/04/2026

Leo tukiwa ofisi za TPA, tumewahudumia wageni wetu kwa breakfast na lunch yenye ubora wa hali ya juu ✨

Tunawakaribisha wote wenye vikao na mikutano kutuchagua—tunahakikisha huduma yenye kiwango na ladha isiyosahaulika.

📍 Ofisi zetu zinapatikana Dar es Salaam & Dodoma, Tanzania
📞 Wasiliana nasi leo kwa huduma ya kikao chako

Photos from SHANI Events's post 21/12/2025

Alhamdulillah 🤲 21/12/25
Leo tumepata heshima ya kuwahudumia
Bwana Amran & Bibi Halima
📍 Dar es Salaam

📞 0711 466 292
📅 Order & bookings zinaendelea
📍 Tunatoa huduma Dar es Salaam & Dodoma

Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Dar Es Salaam