Success Guide Seminar

Success Guide Seminar

Share

25/08/2025

Usilalamike wala kujutia kwa chochote kile kinachokutokea katika maisha kwan kila kitu hupangwa na hutokea kwa sababu kila jambo huja kweny nyakati maalumu.

Jitahidi kutokulalamika wa kujikosea badala yake jipe uvumilivu kuwa na subra na jitahidi kuwa mnyenyekevu kwa shida zako na kamwe usimwambie mtu yoyote shida zako zaidi ya kutafuta suluhu na njia ya kupita ili uweze kuvuka magumu uliyonayo.
Be a wise be hamble na pigania katika njia yako hata k**a uko pekee yako kwani usihitaji support au kuonewa huruma na watu, wew ni wew na maisha yako hayawezi kumhusu mtu mwingine yoyote yule.

Na mwisho wa siku usisahau kuwa tunaishi ili baadae tufe na kupotea katika ulimwengu wa dunia hii,
hivyo usiogope katika hali ya kupambana kwa lolote lile take action move forwards kwani shujaa wa kweli anakufa akiwa vitani.

THINK GLOBALLY ACT LOCALLY
Feisal Joe
0715616763.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Culinary Team

Attire

Website

Address


Dar Es Salaam