Imarasoft IMS

Imarasoft IMS

Share

Photos from Imarasoft IMS's post 28/01/2026

Meet ImaraSoft — the smart way to manage operations, compliance, accounting, HR, and growth in one place.

From startups to enterprises, there’s an IBRAAS package built for your stage.

12/11/2025

Imarasoft™ IMS ni Mfumo/Programmu ya kusimamia biashara na michakato ya kibiashara wenye uwezo wa kusimamia biashara zaidi ya moja — kwa pamoja na kwa urahisi!

Inatumika kwenye
✅ Maduka
✅ Huduma
✅ Miradi
✅ Viwanda
✅ Taasisi

Imarasoft™ hukuwezesha kuchakata taarifa za mauzo, matumizi, wateja, bajeti, uhasibu, malipo, kutuma SMS, email, na mengine mengi — yote kwa mfumo mmoja rahisi na wa kisasa.

11/11/2025

WorkERP is now Imarasoft, Usimamizi Umefanywa Rahisi.

Ikishirikiana na IBRAAS - Huduma za Imarasoko za Usimamizi wa Biashara,

31/07/2025

Unapokuwa na ripoti zilizo wazi na zilizopangwa, unaelewa biashara yako vizuri.
WorkERP hukupa ripoti itakayokusaidia kufanya maamuzi bora.

11/07/2025

Kabla ya kuongeza mtaji au kufungua tawi jipya, jipange vizuri.

WorkERP hukusanya data zako zote kwenye mfumo mmoja, ili ufanye maamuzi sahihi.

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Apt 203, 2nd Floor, Exnedco Building
Dar Es Salaam
255