ritapeter_afya
23/02/2023
*UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA KANSA(CANCER)*
🛑Kansa ni ugonjwa unaotokea baada ya kuharibika pia kubadilika kwa seli na kuanza kuzaliana katika mili nazo huitwa seli za kansa, Kansa hutokea kwa binadamu, wanyama na viumbe hai wengine. Seli huharibika,hurekebishika au kufa, ila seli zisipokufa au zisipo rekebishika huwa seli zisizo za kikawaida (hazihitajiki mwilini) ndipo huanza kuzaliana na kuwa seli za kansa. Seli za kansa hutumia seli za kawaida kuzaliana, kusafiri kwa kutumia damu na lymph. Seli za kansa huzaliana na kuhama tokea upande mmoja wa mwili kwenda mwingine hii hali huitwa metastasis
Kansa ni ugonjwa unaouwa kwa kiasi kikubwa duniani, idadi ya watu millioni 8.2 walikufa (Ikiwa ni asilimia 22% ya vifo vyote; Hizi ni taarifa kutoka Shirika la Afya duniani (World Health Organization,2016)). Na ikikadiriwa kufika mwaka 2030 idadi ya vifo kuwa million 13.1. _Aina ya kansa zinazoongoza kuua kila mwaka ni pamoja na kansa ya mapafu, kansa ya tumbo, kansa ya ini, kansa ya utumbo, kansa ya matiti nk._
*🛑Kansa au Saratani(cancer)* ni neno lililotolewa kwenye kundi la magonjwa yanayosabahiana. Kuna aina tofauti zaidi ya 100 ya magonjwa yanayoitwa kansa au saratani. Katika aina zote hizi za saratani, baadhi ya seli za mwili huanza kujigawa bila kusimama na kuenea kwenye maeneo ya karibu ya mwili. Kansa huweza kuanza kwenye sehemu yoyote ya mwili.
_Kwa kawaida seli za mwili hujigawa na kuzalisha seli mpya kulingana na mahitaji ya mwili, seli za zamani zikiharibika au kuzeeka, seli mpya huchukua nafasi ya seli hizo._
🛑Saratani inapotokea, mpangilio huu huvurugika. Kadri uvurugikaji huu unavyozidi, seli za zamani zinaendelea kuishi badala ya kufa na seli mpya hutengenezwa bila mahitaji ya mwili.
🛑Seli hizi za ziada huendelea kujigawa na kujenga uvimbe (tumors). Saratani za aina nyingi hujenga uvimbe isipokuwa saratani za damu, k**a leukemia, ambapo ugonjwa huu huzuia ufanyajikazi wa kawaida wa damu kwa kusababisha kugawanyika kwa seli za damu kusiko kwa kawaida.
📌Uvimbe unaotokana na saratani ni hatari kwa maisha, huweza kuenea kwenye maeneo ya karibu ya mwili na kadiri unavyokua baadhi ya seli huweza kujitoa kutoka eneo moja zikasafiri kupitia mfumo wa damu hadi eneo jingine la mwili na kuanza kujenga uvimbe mpya kwenye eneo hilo jipya mbali kabisa na eneo la
awali.
🛑Uvimbe wa saratani huweza ukakua na kuvuruga utendaji kazi wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, ubongo na mfumo wa damu. Uvimbe unaotokana na saratani ukiondolewa, huweza kurudia kujijenga upya kabisa.
*CHANZO CHA SARATANI/KANSA(CANCER)*
📌Kansa ni ugonjwa unaotokea katika viini vya mwili vinavyohusika na kurithisha tabia kutoka kizazi kimoja hadi kingine (genes) – ni ugonjwa unaotokana kwa kubadilika kwa genes zinazohusika na ufanyaji kazi wa seli za mwili, na hasa zile zinazohusika na namna seli zinavyokua na kujigawa.
📌Mabadiliko katika genes yanaweza kuwa ya kurithi kutoka kwa wazazi au yanaweza kutokea katika kipindi cha maisha ya mtu kutokana na hitilafu zilizotokea wakati wa kugawanyika kwa seli au kutokana na uharibifu wa DNA uliotokana na vitu vilivyopo kwenye mazingira viitwavyo carcinogens.
📌Vitu vya kwenye mazingira vinavyosaidia kuharibu DNA na kukua kwa kansa (carcinogens) ni k**a kemikali zilizopo ndani ya moshi wa tumbaku, asbestos, arsenic, mionzi ya gamma, X-rays, moshi wa magari na mionzi ya jua (UV rays).
📌Umri wa mtu unapokuwa mkubwa uwezekano wa kutokea dosari katika mabadiliko ya DNA yanayosababisha kansa huongezeka na kufanya umri kuwa ni sababu moja ya kuweza kupata kansa kirahisi. Kuna virusi wanaohusishwa na kansa k**a human papillomavirus (wanaosababisha kansa ya cervics ), hepatitis B na C (wanaosababisha kansa ya ini), Epstein-Barr virus (anayesababisha baadhi ya kansa za utotoni), Human immunodeficiency virus (HIV) -na kitu chochote kinachodhoofisha kinga za mwili.
📌Kila mtu mwenye saratani ana mmchanganyiko tofauti wa sababu zilizopelekea kutokea mabadiliko hayo katika genes zake. Kansa inavyozidi kukua, mabadiliko za ziada huongezeka. Uvimbe mmoja unaweza kuwa na seli zilizozalishwa kutokana na aina tofauti ya badiliko katika genes.
📌Kansa iliyoenea kutoka sehemu moja ya mwili ilipoanzia hadi sehemu nyingine huitwa metastatic cancer na tendo la kansa kuenea kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine ya mwili huitwa metastasis. Kansa iliyoenea kutoka sehemu moja ya mwili hadi sehemu nyingine huwa na aina ya seli zilezile za sehemu ambako ilitokea na hupewa jina lile lile la aina ya kansa ya sehemu ya mwanzo ilikotokea.
🛑Kwa mfano, kansa ya ziwa iliyoenea na kwenda kujenga uvimbe katika mapafu haitaitwa kansa ya mapafu bali metastatic cancer ya ziwa na uchunguzi kwa vyombo maalumu wa seli za sehemu hizi mbili utaonyesha kufanana kwa seli za sehemu hizo mbili toauti. Kansa hizi zinazotokea kwa kuenea kutoka sehemu moja ya mwili hadi nyingine *(metastatic cancers)* huleta madhara makubwa kwa ufanyaji kazi wa mwili na idadi kubwa ya watu
wanaofariki kwa saratani, hufariki kwa sababu ya aina hii ya kansa.
PIGA 0752321629 WHATSAPP /SMS
Je unasumbuliwa na mifupa na maungio na ganzi kwa mda mrefu bila mafanikio?..... na hujui wapi utapata suluhisho la kudumu ............
Ondoa hofu mpendwa nakuletea virutubisho maalumu na asilia kwa ajili ya tatizo lako na huu👆 ndo ukombozi wa tatizo lako
➡️ArthroXtra Tablets
♦ Huongeza ute ute(synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa
♦ Huondoa maumivu ya maungio k**a nyonga,magoti na mgongo n.k
♦ Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya(ar-
ticulate cartilage)
♦ Huzuia kulika kwa mifupa na maungio
♦ Huondoa tatizo la Athritis
♦ Huongeza Glucose Amine na Chrondroitin kwenye maungio
➡️Zaminocal Plus Capsules
♦ Mchanganyiko wa Zinc,Calcium, magnezium na amino acidi(protini)
♦ Huboresha mifupa na meno
♦ Husaidia mfupa uliovunjika kupona haraka
♦ Husaidia sana mfumo wa fahamu
♦ Huwafaa watoto wanaochagua chakula kula vizuri
♦ Huongeza hamu ya kula
♦ Huwafaa sana wamama wajawazito kwani husaidia kupata
mtoto na misuli ya ikulu kurejea kwa wepesi baada ya
kujifungua
06/07/2021
TEZI DUME NI NINI?.
Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,
Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume
Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo
Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele
Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume
Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda
DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-
✓Kukojoa Mara kwa mara
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu
✓kukojoa saana usiku
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo
✓Kupoteza fahamu
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja
✓Uume kushindwa kusimama vizur
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo
ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea
5)Figo inaweza kuharibika
Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA YA VIRUTUBISHO LISHE BILA UPASUAJI.
Bofya Link 👇🏽👇🏽👇🏽hapo chini kupata Tiba Lishe
https://wa.me/255755087195?text=Nahitaji%20Bidhaa%20Ya%20KuondoaMaradhiYa%20TeziDume%20Sasahivi
28/06/2021
*FAHAMU HIZI SABABU KUMI(10) ZINAZOWEZA KUPELEKEA UJAUZITO KUHARIBIKA.*
✍️kuna sababu nyingi zinazoweza sababisha mimba kutoka lakini leo nteanda kongelea zile muhimu ili kila mtu k**a iko ndani ya uwezo wake aweze kuzuia pale anpopata mimba.
✍️matatizo ya vimelea vya urithi: kawaida mbegu za mwanaume huchangia pea 23 za vimelea vya urithi yaani chromosomes na yai la k**e hichangia vimelea 23 pia kwa ajili ya mtoto atakayezaliwa, lakini kwenye hali isiyo ya kawaida namba hiyo ikiongezeka au kushuka husababisha mimba kutoka ndani ya muda mfupi.
✍️magonjwa; kuna magonjwa mengi endapo hayatatbiwa wa muda muafaka husababisha mimba kutoka muda wowote ule yaani inaweza kua mwanzoni au mwishoni.mfano. malaria, kisukari, pressure, kaswende, virusi vya ukimwi, U.T.I, toxplasmosis,rubella, na herpes simplex virus.
✍️matatizo ya kizazi; kuna magonjwa mengi yanayoathiri kizazi moja kwa moja na huweza kuleta kutoa mimba kirahisi sana mfano wa magonjwa hayo ni uvimbe wa ndani ya kizazi,ulegevu wa mlango wa uzazi na kadhalika.
✍️matumizi ya dawa; ukiwa mjamzito hutakiwi kutumia dawa yeyote bila kuandikiwa na daktari, kuna dawa nyingi sana zinaweza kutoa mimba mfano fragile, albendazole,misoprostol, dawa ya mseto ya malaria, doxycline, na nyingine nyingi.
✍️utapiamlo; mwanamke mwenye upungufu wa madini muhimu mwilini k**a calcium, potassium na sodium lakini pia wanga, protini, vitamini na kadhalika. upungufu huu humfanya mwanamke ashindwe kubebeba mimba mpaka kujifungua na hata akijifungua huweza kuzaa mtoto mwenye mapungufu fulani ya kiakili.
✍️matatizo ya homoni; mwanamke ana kiwango maalumu cha homoni za uzazi ambacho anatakiwa awe nacho ili mimba iweze kutungwa na kukua. kiwango hiki kikiwa juu sana au chini sana husababisha mimba kuharibika.
✍️Aina ya maisha ya mjamzito; matumizi ya pombe na sigara kipindi cha ujauzito ni hatari sana kwani huingilia mfumo wa homoni na uzazi na kusababisha mimba kuharibika.
✍️umri mkubwa; kubebe mimba kwenye umri mkubwa huchangia sana mimba kuharibika kwani kipindi hiki viungo vya uzazi na mfumo wa homoni unakua umepungua nguvu sana hivyo mimba.
🔹 _USIANGAIKE NA KULAUMU KWANINI WEWE,KARIBU
*WE CARE WE SHARE*
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mlimani City
Dar Es Salaam