Sheikh Hamza Rajab Abuu Seif

Sheikh Hamza Rajab Abuu Seif

Share

05/06/2020

Unajua yanayotakikana kufanywa zaidi siku ya ijumaa???
Ni mengi lakini anza na hili:

Amesema Mtume wa Allah Rehma na Amani Ziwe Juu yake:

Niswalieni sana siku ya ijumaa, na usiku wa ijumaa.

Atakayeniswalia mara moja, Allah atamswalia mara kumi.

Tusipitwe na fadhila hii ya siku ya ijumaa, bali kila siku na kila wakati mswalie Mtume wako Rehma na Amani Ziwe Juu yake.

اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا ونبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين

03/06/2020

ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAAH WABARAKAATUH

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Dar Es Salaam