Lydia_bodied
For those asking how, watch the full video and see my day to day exercises with resistance bands that helps me to tone my thighs and shape my b***y.
Nimeanza ijumaa namna hii, wewe je? Umefanya chochote kuchangamsha mwili wako? Hujachelewa, anza kesho au leo jioni. Uamuzi ni wako.
Siku yangu huanza saa kumi na moja na dakika 20 asubuhi. Huanza siku yangu kwa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya kuiona asubuhi, saa kumi na moja na dakika 35 mpka dakika 40 hutoka kwaajili ya mazoezi yangu ya kwanza ya kukimbia 6 to 7km. Nikirudi ratiba huwa k**a hivi, mazoezi mchanganyiko (miguu, mapaja, juu yaani kifua na mikono, tumbo, makalio😉 n. k). Baada ya hapo huandaa chakula (k**a cha week kimeisha mapema au k**a nataka kitu tofauti na nilichoandaa kwa matumiz ya week). Hali ya mvua ilinifanya nitamani chai ya mchaichai na majani ya tosha na mkate. Lakini je, naufanyaje mkate wangu kua na lishe zaidi na kunifanya nishibe muda mrefu? Angalia video😋😋
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kimweri Road Msasani
Dar Es Salaam