Prophet Boaz

Prophet Boaz

Share

09/05/2026

JUMAPILI HII, USO KWA USO NA YESU KRISTO.Maisha yako hayatabaki k**a yalivyo..!!

23/04/2026

Magonjwa yakutengenezwa, roho za kutupiwa, uchawi wa kununuliwa Viharibike kabla havijakaribia nyumba yako.

07/04/2026

Natamka shuhuda za kupokea pesa kwa simu zianze kusikika kila mahali kwa anayeamimi neno la nabii.POKEA mara 3 wiki hii

05/03/2026

MAOMBI YA ULINZI KWA FAMILIA

Mungu wetu na Baba yetu tunakushukuru kwa siku nzima ya leo, Tunaomba rehema zako na neema k**a familia, Ututakase, Utuponye,Utubariki na kutulinda milele. Amen!

fans

02/03/2026

Ukumbukwe mwezi huu wa tatu. MUNGU akufanyie jambo jipya zuri litakaloongeza imani yako kwa Mungu mara tatu zaidi.

●Isaya 43:19,"Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka;je!Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani."

Karibu mwezi wa kufutwa MACHOZI❗❗

fans

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha