Mr. Peace Foundation

Mr. Peace Foundation

Share

07/05/2024

Mteja Wetu ameshapendeza na tabasamu lake la PAPO KWA PAPO! Ukitaka yawe Meupe zaidi ya hapo ni wewe TU🔥

KUMBUKA; Dawa ya Mr cheka Ina sifa Moja kuu ambayo ni;

KUONDOA RANGI YOTE YA BROWN, NJANO AU NYEUSI KWENYE MENO NA KUYAACHA MEUPE P*E!!

Agiza Sasa uondokane na hiyo rangi inayokunyima raha ya kutabasamu.
0759 540 354 au 0757 698 000 au 0746 992 299 au 0746 777 789 au 0679 540 354

04/04/2023

Habari za saa hizi Ndugu Yangu. Mimi naitwa Peace Simon, Nimekua nikijihusisha kutoa misaada kwa jamii ya watu wasiojiweza hususani yatima, wagonjwa, vilema, omba omba, wajane na wazee.
Nimekua nikifanya hivyo kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa muda sasa, nikijaribu kusaidia kutatua matatizo ya wahitaji lakini kwa bahati maya nashindwa kuwafikia wote. Hivyo tukachagua tarehe 22/7 kuwa Siku ya ukarimu, siku ambayo tutaweza kuwasaidia watu wenye mahitaji tofauti tofauti k**a vile yatima, wajane, walemavu, wazee, watoto wa mtaani n.k. Ndugu.........NAOMBA ujiunge na Mimi kusaidia watu wa jamii hii maana tukiungana kwa pamoja na kushirikiana Mimi na wee naamini tutaweza kufanikisha siku hii na kuweza kufikia wahitaji wote k**a tutashare na kusambaza kwenye kurasa zetu za kijamii kwa kuhushtag , ili kuweza kuhamasisha jamii kujitokeza na kuonyesha ukarimu kwa wahitaji walio Karibu na wao. Nina taka kueneza uelewa na kuweka juhudi siku hii ifanyike kila mwaka nchi nzima basi nyinyi ndugu zangu mkinishika mkono inaweza kufanyika hata dunia nzima kila mwaka.

UKARIMU DAY

08/03/2023

happy women’s day from Ukarimulifefoundation

08/03/2023

Happy international women’s day😍 much love to women empowering 🥳🥳

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mr. Peace. As@gmail. Com
Arusha
KALOLENISECONDARYSCHOOL,ARUSHA