Extended Impression

Extended Impression

Share

18/01/2026

Having Goals help you to focus....
Sketch by Zig Ziglar

Photos from Extended Impression's post 18/01/2026

Ministry Empowerment
Speaking on: Building a Cohesive team through effective communication by Olive Joy Tibenderana and Commitment to Ministry by Paul Patrick:

With game drive
Makuyuni Wildlife Arusha.

Photos from Extended Impression's post 09/04/2024

Bank ya Jamii.
Mfumo rahisi na Bora Kwa Jamii kuweka na kukopa fedha Kwa masharti mepesi kuliko wepesi wenyewe Kwa Kila mtu na hasa Kwa Jamii ya watu wa kipato Cha chini na kati.

Mfumo huu unakuwa na nguvu endapo wanachama huanzia 25 mpaka 30 wakijiwekea utaratibu wa kuweka fedha Kwa kiwango walichokubaliana Kila wiki. Mifuko ya mambo ya kijamii na yenyewe ikiwa ni sehemu ya mpango wao ili kusaidiana pale inapobidi Kwa mambo ya Jamii.

Mikopo ya biashara
Mikopo ya dharula na
Mikopo ya elimu ni baadhi ya bidhaa zinazotokana na mfumo huu. Hata hivyo kundi laweza kubuni bidhaa/product za mikopo.mbalimbali kulingana na mahitaji.

Extended Impression Consulting ni wawezeshaji wa mfumo huu na wazalishaji wa vitendea kazi vya mfumo huu. Kwa mahitaji ya elimu na vifaa tafadjali usisite kutujulisha nasi tutakuhumia Kwa haraka kabisa.

Connect
0787 070 047
[email protected]

Photos from Extended Impression's post 29/05/2023

Holistic empowerment

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Sakina Kwa Iddi, Near Kilimanjaro School, P. O. Box 1330
Arusha
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00