Mjasiriahabari
07/10/2026
Kufanya mjadala wa umiliki wa nyumba ni rahisi na unaficha dhambi ya kutokuwa muaminifu.
Jamii inahitaji kujifunza ukweli ili kuepuka migogoro ya ndoa na kutoa fundisho kwa wengine, kutumia mjadala wa mali kwa sababu utaepusha ukweli wa mambo.
Wanaume wanahonga nyumba, wanatoa magari hutujawahi kusikia wameua kwa sababu aliyepewa gari kamuazima rafiki yake so kusema mwanaume ameua kwa sababu ya nyumba ni aina fulani ya kuendelea kuwananga (victimized) wanaume ili kufiflisha sauti zao.
Hili ni tatizo kubwa sana ikiwa mwanaume atafanyiwa cheating then akajua hana mahali anaweza kusikilizwa matokeo yake ule uanaume wake unageuka kuwa "Lijimnyama" na ndipo tutakapoendelea kuona matukio haya yakiongezeka.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Arusha
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Mjasiriahabari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.