SIRI YA INJILI
21/10/2024
UBATIZO
Ubatizo ni tendo la agano, linalowakilishwa kwa ISHARA ya kuzamisha mwili majini au kunyunyiza maji kichwani.Utaratibu huu wa kubatiza ulitumika toka karne ya kwanza.Ingawa Waisraeli waliutumia kabla ya hapo kwa wamataifa waliojiunga kuwa raia wao. Kwa mujibu wa desturi wakati wa karne ya kwanza baba wa familia alipojiunga na Ukristo familia nzima ilipaswa kubatizwa wakiwemo watoto wao.Ukwepli kiroho ubatizo halisi ni ule aubatizao Yesu mwenyewe kwa Roho Mtakatifu.(Mt. 3:11. na Mdo.1:4-5).Batizo zote ni ishara tu.Isivyo bahati madhehebu yetu yanabishania ishara toka enzi za karne ya kwanza ubishi uliosababisha mfumuko wa madhehebu.
Ushauri
Mzazi,mpe mtoto wako kila kilicho chema.Ingiza mtoto wako kwenye agano la uzima.Wapagani wanawaingiza watoto wao kwenye agano la mizimu.
wao.uk - Domain Name For Sale | Dan.com I found a great domain name for sale on Dan.com. Check it out!
MWISHO WA MZUNGUKO
K**a ukitokea katika familia ya walevi, zuia huo ulevi usifike kwako. Na ulevi huo usipite kwenda kwa kizazi kinacho fuata.
K**a umetoka familia ambayo watoto wanakatiza masomo yaani hakuna anaye maliza au kwenda chuo kikuu, zuia huo mzunguko na wewe usome ufike mbali katika ngazi ya juu na uthibitishe kuwa hata katika familia yenu inawezekana akatoka mtu wa kuleta maajabu kimasomo
K**a ndugu zako katika ndoa zao haziendelei na hata wazazi wako ndoa yao ilikuwa ngumu hadi kuachana, wewe zuia huo mzunguko usiendelee, na ukioa au kuolewa ndoa yako idumu zaidi hata mmalize mwendo salama
K**a wewe ni mwanaume na baba yako alizoea kumpiga mama yako, wewe zuia huo mzunguko, uwe tofauti na baba yako na umpende mkeo k**a mwanaume mkamilifu anavyo takiwa kuonesha upendo
K**a wewe umetoka familia ya kikabila ambayo maamuzi yanafanywa kwa wazee wa mila, wewe zuia huo mzunguko na uoneshe familia yako kuwa yupo Mungu wa kweli na sio mizimu ya kabila lenu
K**a ulipo zaliwa familia yako ni masikini na mmeishi katika umasikini, zuia mzunguko huo hakikisha unapata pesa na unyanyue familia yako kuwa na ukwasi mkubwa
K**a wanafamilia wa kwenu wanajulikana kwa vitu viovu na hovyo, wewe zuia huo mzunguko wewe uwe wa tofauti na wao na ufanikiwe kuleta heshima kwa familia yako na kwa jina la familia kwa ujumla
K**a watu wa kutoka familia yako wanajulikana kuwa ni watu wa hasira, wewe zuia huo mzunguko kwa kuwa rafiki na mpole na mtu mwenye ushawishi katika maisha na familia yako
K**a familia yako imekuwa ikihusika na uchawi na mauaji na kila aina ya ulozi na kuto kupendwa, zuia mzunguko huo kwa kumtambulisha Mungu kwa njia ya Kristo katika familia yako na kisha weka agano kuwa kuanzia wewe na nyumba yako utamtumikia Mungu aliye hai!
Uhitaji kubeba na kuendeleza mapungufu ya familia yako hadi kufika kizazi kingine. Penda familia yako lakini jifunze kwa makosa yao. Hutakiwi kuwa na maono kutokana na familia uliyo zaliwa, lakini unaweza kujipanga na kuwa na maono wewe utakuwa nani na namna ya hatima ya familia yako uliyo nayo au itakayo kuja. Maamuzi yako yanaleta matokeo kwa kizazi kijacho huko mbeleni
© Gideon Lulabuka
Karibu tujifunze kila siku
26/03/2024
Karibu kusikiliza semina ya pasaka kwa njia ya You Tube leo siku ya tatu. Karibu shirikisha na mwingine na usiache ku subscribe katika channel hiyo
LIVE: TUNAKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU - MWL. BENJAMIN LULABUKA ( SIKU YA TATU )
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Arusha
P.O.BOX12205