Pastor fide.

Pastor fide.

Share

08/05/2026

Nya 7:14 "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao."

Nyenyekea na kuomba, ntafute Mungu anapatikana, usikae na mambo magumu, usikae na millima mirefu, usikae na giza, usikae na mauti, mtafute Mungu hulitazama neno lake na kulitimiza. Acha kutenda dhambi, mambo ya kale mambo yasiyo ya utukufu wa Mungu, amua kubadilika sasa, naye Mungu atabadilisha maisha yako.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Sakina
Arusha