Smart Shooting - Arusha Page
Usikose Mazoezi ya Shabaha Jumapili hii Nov.18, TMA - Dhahabu Resort - Monduli kuanzia Saa 4as - Saa 10jioni.
Ada: 25,000/= Wamiliki wa Silaha
Ada: 10,000/= Watazamaji,
Don't Miss RANGE EVENT This week Nov.18th from 10am - 04pm at TMA - Dhahabu Resort - Monduli.
Fee: Tshs 25,000/= Gun Owners
Fee: Tshs 10,000/ - Fans
Karibu sana.
07/11/2012
Hii ilikuwa siku ya Kwanza ya kufanya Mazoezi ya Kulenga Shabaha katika viwanja vya Tanzania Military Academy Monduli ambapo watu kutoka Moshi na Arusha walihudhuria. Tunamshukuru Mungu kwa jambo hili ambalo ni USHINDI katika historia yetu na bado tunamtegemea yeye ili Mazoezi haya yawe ya Salama na ya Uadilifu Mkubwa. Karibuni Sana kila Jumapili Saa 4asubuhi - Saa 10jioni.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
P. O. Box, 1798 Arusha
Arusha