FTI Alumni Association

FTI Alumni Association

Share

07/11/2024

Uongozi wa Chuo cha Misitu unayo furaha
kuwaalika wahitimu wote wa zamani wa
Chuo cha Misitu kushiriki kwenye Mahafali ya
84, yatakayofanyika tarehe 15 Novemba 2024,
katika viwanja vya chuo.

Hii ni fursa maalum ya kuungana tena na
kusherehekea mafanikio yetu ya pamoja.

Mahafali haya yataangazia urithi na
mchango wa chuo chetu katika sekta ya
misitu, pamoja na kujenga mshikamano
miongoni mwa wahitimu. jiunge nasi
katika tukio hili la kihistoria.
Karibu sana

Photos from FTI Alumni Association's post 03/10/2024

*From Silent generation 1937 to 2024 Generation Alpha.**We are one Big family 🇹🇿🌳💚*

Karibu jisajili na Jumuiya ya Wahitimu wa FTI kwa kujaza fomu hii
https://forms.gle/SVER9jHcTwCp9gC59

Pia unaweza kujiunga na group letu la WhatsApp Kwa kutumia link hii
https://chat.whatsapp.com/FpPzCaZEumq7qec7cxKJaQ

Photos from FTI Alumni Association's post 18/09/2024

Wahitimu mbalimbali walio wahi kupita Chuo Cha Misitu, Olmotonyi , Kwa wakati tofauti tofauti wamefurahia sana kutembelea Chuo chao na kukuta mabadiriko makubwa sana yaliyo tokea chini ya Uongozi wa Mkuu wa Chuo Dr. Joseph Makero .makero

Photos from FTI Alumni Association's post 06/09/2024

"Happy us, we are proud Alumni of Forestry Training Institute, Olmotonyi" -

Photos from FTI Alumni Association's post 09/08/2024

We are one big family🌳💚
Karibu jiunge na familia yetu kubwa ya Wahitimu wa Chuo Bora cha Misitu

Photos from FTI Alumni Association's post 09/08/2024

Mimi Linda na hulder tunajivunia kuwa zao la Chuo bora cha Misitu , wewe je?

Cc

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Olmotonyi
Arusha