Arusha yetu

Arusha yetu

Share

23/02/2026

Ajali mbaya imeripotiwa katika eneo la Kwa Idd, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, kufuatia basi la kampuni ya Dar Express kugongana na daladala lililokuwa likisafirisha abiria.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, watu kadhaa wamejeruhiwa, huku baadhi yao wakiwa katika hali mbaya na kuhitaji uangalizi wa haraka wa kitabibu. Magari yote mawili yamepata uharibifu mkubwa, hasa katika sehemu za mbele.
Mamlaka husika zinaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha ajali hiyo.

HATUKUPENDA TUWE HIVI-21 03/04/2017

http://yetuarusha.blogspot.com/2017/04/hatukupenda-tuwe-hivi-21.html

HATUKUPENDA TUWE HIVI-21 HADITHI, HATUJAPENDA TUWE HIVI, SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA,(21), MTUNZI Deo Young Massawe MAWASILIANO, 0769297430.                     ...

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Arusha