TGGA Arusha

TGGA Arusha

Share

16/10/2025

Zimebaki siku chache tu!!
Tunakukaribisha kwenye : KONGAMANO KUBWA LA CHAMPION WOMAN – SEASON SIX πŸŽ‰

πŸ“… Tarehe: 18/10/2025
πŸ“ Ukumbi: Lush Garden, Arusha
πŸ•˜ Muda: Kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni

Kaulimbiu yetu mwaka huu:
β€œINUKA UANGAZE!” πŸ’ͺ✨

Ni wakati wa kuungana pamoja kuinua wanawake, watoto na watu wenye uhitaji.
Utapata nafasi ya kujifunza, kubadilishana uzoefu, kufurahia muziki, na kuwa sehemu ya mkono wa upendo wa Champion Woman.
Mawasiliano: 0766 989 811 – Grace Ushindi

πŸ‘‰ Usikose! Jiunge nasi katika msimu huu wa sita wa kutoa, kuinua na kutia moyo β€” Champion Woman Season Six! 🌹

Photos from TGGA Arusha's post 01/10/2025

Wanawake, wanawake ,wanawake.
Huu ni msimu wenu.
Usikose nafasi ya kuwa sehemu ya Historia ya Champion Woman. Tukio litakaloacha Alama moyoni mwako.! Season Six
Sherehe ya kipekee yenye Baraka na Mguso wa Upendo!
Badilisha maisha jenga kesho iliyo bora!!
Save the date,18/10/2025
Arusha, Lush Garden

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Arusha