Forex_Reality_Arusha.tz

Forex_Reality_Arusha.tz

Share

26/06/2025

We are back!! After a long holiday of 2yrs 😁
Ilibidi turudi shule kuchukua Masters in Market Wisdom😎
A lot have happened, glad to be here again....
Kwasasa tumesimama na kitu kimoja tu "Gold Trading"
K**a na wewe ni mmoja wa walio specialise in Gold Trading...Let's Journey together.

Still in Arusha, Location Njiro.

05/07/2022

✍Katika nguzo tano za biashara hii nguzo mojawapo ni TIME, moja ya mazao ya TIME ni Timeframes na Price Momentum. There's no change in price value k**a muda utasimama, kinachoanza kuchange ni Time kabla ya price value.

✍Niligusia kidogo hili moja ya posts zilizopita na kusisitiza umuhimu wa kujifunza program maalumu ya TIME katika trading ikiambatana na program ya futurology, jiongeze kidogo kuziacha hizi levels za kimaarifa kwamba utaangalia tu Engulfing candle, doji or Pin Bar, kuna vitu vingine ni kipofu tu ambae hawezi kuona and Yet 90% of traders fail on trading.

✍Leo TIME nitaigusia ktk angle ya kisaikolojia and not Technically, waathirika zaidi wa hili ni rika la kati mostly wako vyuoni, ni rahisi traders wengi wasioona matunda, wakaona hasara waliyoipata ni pesa tu na si MUDA, nazungumzia matunda halisi binafsi achana na huku mtandaoni huku wote tunapata faida.

✍Katika maisha kuna kufeli kunakotoa lesson lkn kufeli kwingi ktk fx hakuna lessons ndani yake, unaweza kukataa lkn kawaulize kuunguza k**a iliwahi kuwa sababu ya kutrade vizuri, kuna mawili tu either waliunguza zaidi ya moja au walipounguza waka-quit, kuunguza ni kiwango cha mwisho cha ujinga ktk trading, kujifunza kwendesha gari siyo kuanguka nalo.
Ndio maana ukiziunguza sana unadevelop fear na sio lesson

✍Unapojengwa kwenye msingi wa gambling destination ni kufeli with no lessons in it, kuitoa account from $1000 to $10000 ndani ya siku kadhaa heheh! Haujasikia watu wamewin Jackpot gambling is not a lifestyle, umeshawahi jiuliza k**a hiyo itakuwa lifestyle ya mtu atakuwa anashindana na nani duniani hapa kwa ukwasi??

✍Wangapi walitrade account ya $100 ikafika $500 then the rest is history, wakabaki wanashangaa kabisa imekuwaje?? Wanasahu nyumba ilijengwa juu ya msingi gani, unapoteza pesa lkn zaidi unapoteza MUDA. There's no free lunch in this world, tofautisha strategies za brokers kutafuta commission na REAL trading, ile kwamba unaweza kudeposit $10 haimaanishi ndo capital unayopaswa kuanza nayo.

✍Umeambiwa kwenye boom lako utajifunza fx na utadeposit $50 mpaka umalize chuo utakuwa don unajua unachopoteza kid? unashindwa kujikimu, unapoteza pesa, hujifunzi forex na unapoteza MUDA.

30/06/2022

✍Tour ya kukagua maendeleo ya wale wanaoendelea kukua katika Industry na kuimarisha panapo pungua, wengi wamekuwa wakipata training but mwisho wao haueleweki F.R.T inahakikisha safari haiishi njiani.

✍Haina gharama yoyote kwa ambao mlikwishaianza safari na program mtakayoenda kuipata ni PRICE MOMENTUM. Tuwasiliane mapema unaeona itakufaa hii ili uanze baadhi ya vitu kabla ya tarehe husika.

✍Wapo ambao hampo kwenye hili jahazi tuwasiliane mapema hususani mnaotaka kujiimarisha kwenye (1)Analysis-Technical & Fundamental (2) Psychology.

✍Tuliopo Arusha tuwasiliane mapema kuweka ratiba sawa.

Photos from Forex_Reality_Arusha.tz's post 15/06/2022

Haya as a team mwali anaesubiriwa ni huyu.
(USDJPY)

Images H4 & H1

For experts (price Momentum Enclosed)

The rest End product display (Reversal Rising wedge)

Mode of ex*****on (Aggressively)

Target (Not less 100 pre analysis, Not more 300 post analysis)

No disclaimer!!

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Arusha