Suye Health Institute
25/04/2026
"π¦ Zero Malaria Inaanza na Sisi β Chuo cha Afya Suye Kinauchukua Uamuzi.
Katika Siku ya Malaria Duniani (Aprili 25) , tunasisitiza dhamira yetu ya kumaliza malaria Tanzania. π©Ίπͺ
SUYE Health Institute inawazatayarisha Wahudumu wa Afya (Clinical Officers) ambao wataongoza vita dhidi ya malaria β kwa utambuzi sahihi, matibabu bora, na elimu kwa jamii.
π’ Wewe unaweza kuwa sehemu ya vita hivi!
π Karibu tukuandikishe kwa Mwaka 2026/27 wa MASOMO!
π Programu: Diploma ya Clinical Medicine (iliyoidhinishwa na NACTVET na Wizara ya Afya)
β
Mafunzo ya vitendo | Hosteli bure | Ada nafuu
Kwa pamoja, tunaweza kufikia Zero Malaria β kuanzia na mafunzo sahihi.
π Piga/WhatsApp: 0711 323-524/0687 858-505/0768 929-290/0655 120-791
π Tuma maombi: www.suyehealthinstitute.ac.tz
π Mwambie mwenzie ajiunge na vita dhidi ya malaria!
"
17/03/2026
"πβ¨ KILA LA HERI KWA WANAFUNZI WETU WA SUYE HEALTH INSTITUTE!
Kwa wanafunzi wote wa Clinical Medicine β mnapoanza Mitihani ya Mwisho wa Muhula wa Kwanza, kumbuka:
πͺ Mmesoma kwa bidii.
π§ Mko tayari.
β€οΈ Mna uwezo wa kufanikiwa.
Kueni na nguvu, muwe chanya, na fanyeni vizuri!
Tunawaamini! π©Ί
π Unahitaji maelezo zaidi kuhusu kozi zetu? Piga: 0768 929 290
π Tembelea: www.suyehealthinstitute.ac.tz.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Address
Off Nelson Mandela Road, Opposite Small Scale Suye Garages, Amina Malya Rd
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 16:30 |
| Tuesday | 08:00 - 16:30 |
| Wednesday | 08:00 - 16:30 |
| Thursday | 08:00 - 16:30 |
| Friday | 08:00 - 16:30 |