Master A
08/12/2025
Mo Salah:
"Ni wazi, kuna mtu anataka nibebe lawama zote, hii haikubaliki, sijui ni kwanini hali hii imetokea kwangu.
“Kuhusu hatma yangu, tutaona kitakachotokea mbeleni lakini nikienda Anfield nitawaaga mashabiki wakati nikielekea kwenye michuano ya AFCON kwasababu sijui kitakachotokea nikiwa huko"
19/11/2025
🚨 BREAKING:
Young Africans star Clement Mzize has been crowned the 2025 CAF Goal of the Year winner! 💫🔥
He couldn’t be present tonight due to injury, but he sent in a heartfelt video message to thank everyone who believed in him.
A special moment for Tanzanian football. 🇹🇿💛💚
04/11/2025
Young Africans Sports Club
Wananchi tunaanzia hapa tukiwa nyumbani dhidi ya As Far Rabat.Kamata ratiba kamili.
1️⃣;Yanga SC Vs AS far Rabat (Tarehe 21 au 22 November 2025)
2️⃣;Js Kabylie Vs Yanga SC (Tarehe 28 au 29 November 2025)
3️⃣;Al Ahly Vs Yanga SC (Tarehe 23 au 24 January 2026)
4️⃣;Yanga SC Vs Al Ahly (Tarehe 30 au 31 January 2025)
5️⃣;As Far Rabat Vs Yanga SC( Tarehe 6/7 February 2026)
6️⃣;Yanga SC Vs Js Kabylie (Tarehe 13/14 February 2026)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Kilala
Arusha