Chuchu Beauty&Collection
28/03/2026
Hii ni Belle Glow. Faida zake kwa ngozi ni hizi: +7
1. Husaidia kung’arisha ngozi
Ina Vitamin C ambayo husaidia kufanya ngozi ionekane bright na yenye glow.
2. Hupunguza mabaka na dark spots
Husaidia kupunguza madoa ya jua, mabaka na sehemu zilizo na rangi tofauti kwenye ngozi.
3. Hufanya ngozi iwe laini
Huipa ngozi unyevu na ulaini, hivyo ngozi haikauki.
4. Husaidia kusawazisha rangi ya ngozi
Hufanya ngozi iwe na rangi moja (even skin tone).
5. Husaidia kupunguza dalili za kuzeeka
Vitamin C husaidia kufanya ngozi ionekane fresh na yenye afya.
6. Inaweza kutumika sehemu nyingi za mwili
Inaweza kupakwa usoni, shingoni, mikononi na mwilini.
Kwa tshs 60,000
Oil kwa TSHS 35,000
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
STENDI NDOGO (LIMPOPO)
Arusha