VIPODOZI NA HAMIS

VIPODOZI NA HAMIS

Share

05/02/2020

Reishi coffee ni kahawa nzuri sana na ni tiba lishe inasaidia kuondoa sumu💉💊 kwenye ini na figo pia inasaidia kuboresha kinga za mwili k**a mwili kuuma, tumbo kuunguruma⛈, maumivu ya viungo mzunguko wa damu mwili pamoja na kuimarisha mwili💪🏽💪🏽💪🏽

Photos from VIPODOZI NA HAMIS's post 25/03/2019

Wakati mwingine meno huuma tu sio kwamba hatusafishi vizuri bali tunatumia dawa za meno ambazo hazina ulinzi thabiti kwa meno yetu.
Chukua hiyo tube ya dawa yako ya meno kwa chini angalia kuna alama flani hivi imechorwa.
JE UNAJUA INAMAANISHA NINI KWA MENO YAKO?
▪Huwa kuna
❤Nyekundu
•Nyeusi
💙Blue
💚Kijani

TUBE YAKO INA RANGI GANI?
Ukiona alama nyeusi maana yake dawa yako ya meno ina kemikali tupu

❤ukiona nyekundu ina kemikali na ni natural

💙Blue ina vitu asilia /natural pamoja na dawa

💚kijani ni asilia/natural tupu.
Unatumia dawa ya meno yenye alama gani?
Je ni salama kwa ulinzi wa meno yako?

YANGU INA ALAMA YA BLUE..

Photos from VIPODOZI NA HAMIS's post 30/08/2018

Usikimbizane na mtoto muda wa kuswaki...Mnunulie Optifresh kwa meno imara na yasiyouma..
Ila uwe unaificha maana anaweza kuimaliza siku hiyo hiyo ni tamu sana.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Arusha
Arusha
0624010912

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:07
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00