Savior Ministry
*MKATE 🥪 wa ASUBUHI*
"Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia." Luka 16:10
““He who is faithful in a very little thing is also faithful in much; and he who is dishonest in a very little thing is also dishonest in much." Luke 16:10 AMP
MUNGU anaanza kukwamini pale ambapo unakua MWAMINIFU mwenyewe kwenye yale yaliyo ndani ya UWEZO wako mwenyewe. (MWAMINIFU kwenye MADOGO). Mchakato wa KUAMINIKA ni mchakato wa KUJIAMINI
Follow Us Instagram:
```UTOSHELEVU wetu watoka kwa BWANA```
*Savior Ministry*
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha