Jessy Beauty
24/07/2023
Moroccan argan oil
Yanaondoa weusi
Yanaondoa wekundu ulio tokana na cream kari
Yanaondoa sugu
Yanaondoa chunusi na mabaka yote
Yanakupa rangi moja mwili mzima
Kwa wale wanaopenda kubaki na rangi za asili tumia aya mafuta
Tunapatikana Arusha
Call no 0719975087
Tunatuma mikoa yate kwa uwaminifu kabisa
Bidhaa zetu ni original kabisa
Tunauza jumla 10,000 na rejareja 18,000 pia
TUNA : Detox tea body slim chai
:Slim patch ya kubandika
: Vidonge vya kunywa
: Mafuta ya kuondoa kitambi na manyama uzembe
Zitakusaidia katika safari ya kupunguza au kuondoa mafuta mwilini.
MADHARA YA UZITO MKUBWA.
👌Matitizo ya figo
👌Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
👌Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji
👌Kuharibu ini
👌Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari
👌Hupelekea kupata presha
👌Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo
👌Hupelekea kuleta shida mfumo wa ubongo
👌Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula
👌Maumivu kwenye viungo k**a vile magoti,kiuno nk
👌Kuongeza kiwango cha mafuta mwilini.
Tuna njia 3 za kumaliza UNENE.
🌱mwili mzima
🌱 Kuondoa manyama uzembe
🌱Kuondoa tumbo tu
*Faida za Detox tea body slim*
✔️ Inaondoa sumu mwilini
✔️ Inaondoa Gesi tumboni
✔️ Inaondoa Mafuta mwilini
✔️ Inaondoa bacteria Wabaya Tumboni na kusaidia kukua kwa bacteria wazuri kwa ajili ya mmeng'enyo wa chakula
✔️ Husaidia Kupunguza Mwili, kuondoa Vitambi, Manyama uzembe
✔️ Husaidia wenye matatizo ya choo kigumu.
Badilisha muonekano wako sasa
Tunapatikana Arusha
WhatsApp +255 719975087
Call +255 719975087
💥Sunscreen
✨Sunscreen; Ni Aina ya cream or lotion ambayo imeekwa ingredient's maalum zinazozuia ngoz isiharibiwe na jua .
✨jua Linatoa mionzi tofauti ya mwanga ambayo baadhi hua Ni mikali Sana na yanaharib mno ngoz.
✨mionzi inayoadhiri ngoz imegawika sehem mbili
💥Ultraviolet A (UVA)
💥 Ultraviolet B(UVB)
UVB;Aina hii ya mionzi haiwezi kuingia ndan kwenye ngoz inabak kwenye layer ya nje na Mara nyingi inaunguza uso na kusababisha sunburn, sun spot pamoja na hyperpigmentation
💥UVA;hii Ni mionzi ambayo Ina uezo wa kupenya ndan ya ngoz
Hii Mara nyingi husababisha ngoz kuzeeka na kukunjana .
Jee nin kinasaidia kuzuia hii miozni isiharibu ngoz?
Matumiz ya SUNSCREN yenye sunprotection hulinda ngoz isiharibiwe na mionzi ya jua
Sunscreen sku zote imeekwa kitu kinachoitwa protection factor ambacho ndio kiini Cha ulinzi wa ngoz yako
🌞 protection factor; spf
Huu Ni uezo ambao sunscreen unatoa katika ulindaj wa ngoz.
spf ....... inakua Ni number ambazo huanzia 1 adi 100 kila no inavoongezeka ndio inaongeza uezo wa kulinda ngoz
kutokana na UVB, sunscreen yenye spf 30 Ina uwezo mdogo wa kuilinda ngoz yako ukilinganisha na spf 50
Unaponunua sunscreen hakikisha una spf kuanzia 30 chin ya hapo itakua na uezo mdogo San wa kutunza ngoz yako
PA +++
Sunscreen zingine hasa zilizotengenzwa Korea Zina hii alama hii nayo Ni protection grade ya UVA
Na kila + alama hizi zikiongezeka ndo inaongeza uezo wa kulinda ngoz
Faida za sunscreen
✨Suncreen inasaidia ngoz isizeeke mapema
✨inasaidia ngoz isungue na jua
✨asilimia 90 ya matatz ya ngoz yote yanatibika kwa kupaka SUNSCREN kila s*k
✨ sunscreen inazuia ngoz isipate cancer ya ngoz
✨ suncreen inasaidia kupata glowing skin
K**a umeanza saafari ya utunzaji wa ngoz na hauna sunscreen jua unapoteza mda
Hakuna ngoz itakua nzur bila yakutumia SUNSCREN
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha
255
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 19:30 |
| Tuesday | 09:00 - 19:30 |
| Wednesday | 09:00 - 16:00 |
| Thursday | 09:00 - 19:30 |
| Friday | 09:00 - 19:30 |
| Saturday | 09:00 - 19:30 |