Sound & Vision Ltd

Sound & Vision Ltd

Share

05/06/2026

Lenovo AIO IC 27IRH9 ni desktop ya kisasa ya all-in-one yenye nguvu na ufanisi wa hali ya juu, ikiwa na Intel Core i7-13620H, 8GB RAM na 512GB SSD kwa performance ya haraka na multitasking laini. Ina screen kubwa ya inchi 27 FHD inayotoa picha clear na experience bora kwa kazi na burudani. Inafaa kwa matumizi ya ofisini na biashara zenye demand kubwa, ikiwa na uimara wa muda mrefu na dhamana ya mwaka mmoja (1 YR WRTY).

Bei: Tshs 2,499,000 incl VAT

Kwa maelezo zaidi na oda:
TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

29/05/2026

Ricoh fi-8170 High Performance Desktop Scanner ni scanner ya kisasa yenye kasi na ufanisi wa hali ya juu kwa kuchanganua nyaraka kwa ubora wa juu. Ina uwezo wa duplex scanning na inafaa kwa matumizi ya ofisini na biashara zenye kazi nyingi, ikihakikisha usahihi wa data na uimara wa muda mrefu.

Ina dhamana ya mwaka mmoja (1 YR WRTY).
Bei: Tshs 2,199,000 VAT incl.

TFA Complex: +255 759 750 720Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

27/05/2026

Eid Al-Adha Mubarak πŸŒ™
On this blessed occasion, Sound & Vision extends warm wishes to you and your loved ones. May this Eid bring peace, happiness, and prosperity to your home, and may your sacrifices be accepted and rewarded abundantly.

25/05/2026

APC UPS EASY ON LINE SRV 3000VA 230V SRV3KI ni UPS yenye utendaji thabiti inayolinda vifaa vyako vya kielektroniki dhidi ya kukatika kwa umeme na mabadiliko ya voltage. Ina uwezo wa 3000VA na LCD display kwa ulinzi wa surge, overload, na short circuit, ikihakikisha kompyuta na servers zako zinaendelea kufanya kazi bila usumbufu.

Dhamana: Mwaka 1 (1 YR WRTY)
Bei: Tshs 2,599,000 VAT Incl.

Kwa maelezo zaidi:
πŸ“ TFA Complex: +255 759 750 720
πŸ“ Sokoine Road: +255 767 872 537
Email: [email protected]

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Sokoine Street
Arusha