Injili Tv

Injili Tv

Share

14/07/2025

Karibu ushiriki kongamano la 17 la maombi ya kitaifa, tarehe 29 Julai -01 Agosti 2025 katika Ukumbi wa Maombi Ndachi, Dodoma mjini. Kufika ni tarehe 28 Julai 2025 na kuondoka tarehe 02 Agosti 2025.
Jiandikishe kwa mratibu wako wa mkoa. Kwa mawasiliano zaidi piga
Arusha: +255745525225 au +254736501081
Dar: +255742525225
Mungu awabariki.

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Moivaro
Arusha