AFYA TIPS

AFYA TIPS

Share

06/06/2026

LOWER ESOPHAGEAL SPHINCTER (LES) ndiyo mlango wa ulinzi kati ya tumbo na umio. LES inapokuwa dhaifu au haifungi vizuri, asidi ya tumbo hupanda juu na kusababisha Acid Reflux.

Kwa hiyo, ukitatua tatizo la LES kwa kuifanya ifanye kazi yake ipasavyo, unakuwa umetatua chanzo kikuu cha Acid Reflux badala ya kupunguza dalili pekee.

🎯 Tibu LES, dhibiti Acid Reflux.
🎯 Rekebisha chanzo, sio dalili.
🎯 LES imara = maisha bila kiungulia na reflux za mara kwa mara.

Afya ya umio inaanza na LES yenye nguvu!

05/06/2026

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dar Es Salaam
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00