Griffon College
15/11/2022
Hii ni nafasi ya kipekee tusikubali itupite.
09/04/2022
Elimu bora huanzia kwa wawezeshaji . Muhula unaanza rasmi tr 25 April 2022 kukiwa na punguzo la gharama ya Ada kwa asilimia 20 kwa kila mwezi nadani ya mwaka mmoja, hii ni ofa ya pasaka na mwezi mtukufu.
Masomo yenye punguzo la ada ni
1. Tour Operation
2. Hotel Operation.
Ofa hii itahusu watu 10 tu watakaoweka booking kabla ya tr 25.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi 0683898008/ 0752248032
Tupo Arusha mjini.
03/04/2022
Muhula wa April 2022 unanza tr 19.
Njoo tuanze muhula upate elimu ya ujuzi. Ada ni nafuu sn na malipo ni kwa awamu 4. Tunatoa kozi zifuatazo:
1. Hotel Management
2. Tour operation
3. Tour guide4. English course
Wasiliana nasi kwa:
0752 248032
0683 898008
0628 554565
Tupo Arusha mjini.
HAPPY NEW YEAR 2022
30/10/2021
Ziara ya mafunzo ya vijana wetu katika hotel za kitalii jjini Arusha tr 29 oct 202.
Mlete ndg jamaa au mwanao aje ajifunze.
1. Hotel operation
2. Tour Guide
3. Tour Operation
4. Entrepreneurship.
Wasiliana nasi kwa 0683 898 008
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |