marry afya pro

marry afya pro

Share

22/03/2024

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” π—¨π—©π—œπ— π—•π—˜ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—žπ—œπ—­π—”π—­π—œ (π—™π—œπ—•π—₯π—’π—œπ——π—¦) πŸ‘‡
Hii ni hali ya uvimbe katika mfuko wa uzazi na hali hii ni ngumu sana kujitokeza lakini ni rahisi mno k**a utashindwa kujifatiliza mwana mama,

Uvimbe una sababi nyingi sana hadi kuweza kukua na ifahamike uvimbe huwa kila mwanamke anazaliwa nao ila uvimbe huo unakua mdogo sana na dhamira yake ni kushikilia yai lisicheze sana kipindi litakapo hifadhiwa katika mfuko wa uzazi,

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗭𝗔 π—¨π—©π—œπ— π—•π—˜ (π—™π—œπ—•π—₯π—’π—œπ——π—¦) πŸ‘‡
✍️ Kuvurugika kwa homoni
✍️ Kufanya kazi ngumu kupita kiasi
✍️ Matumizi ya uzazi wa mpango
✍️ Uzito kupita kiasi
✍️ Matumizi ya dawa pasi na ushauri au kwa muda mrefu
✍️ Msongo wa mawazo

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 π—¨π—©π—œπ— π—•π—˜ (π—™π—œπ—•π—₯π—’π—œπ——π—¦)
πŸ€ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
πŸ€ Kuhisi kutu kinacheza tumboni
πŸ€ Tumbo kua kubwa
πŸ€ Kukosa hedhi
πŸ€ Kupata hedhi na maumivu makali
πŸ€ Kupata hedhi mabonge bonge
πŸ€ Tumbo kua zito.

Call 0754989952

04/11/2023

VYAKULA MUHIMU KWA MZAZI/MAMA ANAENYONYESHA;-

VIFUATAVYO NI VYAKULA MUHIMU KWA MAMA ANAENYONYESHA;-

🍁Tende au tende na maziwa(ngamia/mbuzi/ng'ombe).
🍁Mbegu za maboga,matikiti n.k
🍁Supu za pweza/Taa/ngisi.,
🍁Supu ya ngombe,mbuzi,kondoo,
🍁Ndizi za kuchemsha,
🍁Maji ya kutosha (safi na salama)..
🍁Pilipili mtama/manga
🍁Mboga mboga kwa wingi na matunda.,

πŸ‘‰Ni kawaida kwa baadhi ya wanawake wanaotoka kujifungua kuchelewa kidogo kutoa maziwa ya kutosha hivyo anapopata mlo mzuri, kupunguza mawazo basi humsaidia kutoa maziwa kwa haraka na ya kutosha.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Kaloleni
Arusha