Imara Tech

Imara Tech

Share

25/05/2026

🚜💰 MCT siyo mashine tu… ni chanzo cha kipato!

Kwa kutumia MCT ya Imara Tech, unaweza kupiga magunia 20 hadi 25 kwa saa moja.
K**a gunia moja ni Tsh 2,500, maana yake unaweza kuingiza hadi:

✅ Gunia 20 = Tsh 50,000 kwa saa
✅ Gunia 25 = Tsh 62,500 kwa saa

Mashine hutumia wastani wa lita 1 ya mafuta kwa saa tu.
Ukikokotoa mafuta ya Tsh 4,125 kwa lita, bado unabaki na faida kubwa sana. 🔥

Na zaidi ya hapo, mashine inaweza kufanya kazi kwa zaidi ya masaa 4 mfululizo bila kuzimwa.

Hii ina maana unaweza kuingiza mpaka:
💵 Tsh 200,000 – 250,000+ kwa siku kutegemea kazi na eneo lako!

Hii ni fursa kwa mkulima na mjasiriamali wa huduma za mashambani.

📍 Imara Tech – K**ata Fursa.

**ataFursa

21/05/2026

Karibu sana Imara Tech, tukupatie mashine ya kisasa inayokuwezesha kupiga, kupeta na kupukuchua aina 9 ya mazao

Technology ni Imara Tech **atafursa

Want your business to be the top-listed Engineering Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


SIDO Plot 42, Unga Limited
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:30
Tuesday 09:00 - 17:30
Wednesday 09:00 - 17:30
Thursday 09:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 17:30