AFYA Quality International

AFYA Quality International

Share

Photos from AFYA Quality International's post 17/01/2026

Ahsante sana wateja wangu wa Bariadi Simiyu kwa hakika mmeamua mwaka huu kila mmoja anaenda kuitwa Mama ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Hakuna kukata tamaa, piga simu na weka oda yako mapema na dawa zitakufikia popote ulipo ndani ya muda mfupi sana. Unasubiri nini ?

Tumia MULT MD ikiwa unahitaji kushika UJAUZITO kwa haraka na ndani ya muda mfupi sana. Wasiliana nasi na popote ulipo huduma itakufikia.

Piga simu : 0742082881 | 0628776494
WhatsApp: +255742082881

04/01/2026

Mwaka 2026 umeanza vizuri sana na umekuwa ni mwaka wa bahati sana,tumeanza mwaka huu kwa kupokea ushuhuda kutoka kwa mgonjwa wetu ambaye amebahatika kushika ujauzito. Baada ya kutumia dawa nyingi kwa muda wa miaka 8 bila kushika ujauzito,mwaka jana mwezi wa 10 alianza kutumia dawa zetu na mwaka huu 03/01/2026 ameshika ujauzito. Haya ni mafanikio makubwa kwetu na tunajivunia sana.

NB: Bado unayo nafasi ya kushika ujauzito ndani ya muda mfupi sana,ikiwa bado haujabahatika kushika ujauzoto tunakukaribisha sana ili tuweze kukusaidia.

Piga simu: 0742082881 | 0628776494
WhatsApp: 0742082881

Want your practice to be the top-listed Clinic in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Arusha

Opening Hours

Monday 00:00 - 00:00
Tuesday 00:00 - 00:00
Wednesday 00:00 - 00:00
Thursday 00:00 - 00:00
Friday 00:00 - 00:00
Saturday 00:00 - 00:00