MMM SPS
17/09/2021
-Medical missionaries of Mary school of pharmaceutical sciences ngaramtoni-arusha
- Udahili bado unaendelea fika chuon ngaramtoni Arusha ujipatie fomu ya kujiunga.
- Chuo kinatoa kozi ya ufamasia ngazi ya cheti na diploma.
- Ada zetu ni nafuu sana na inalipwa Kwa awamu nne tofauti.
-Ufauru ni "D" nne ikiwemo ya kemia na bailogia.
-Hosteli zinapatikana karibuni sana
18/08/2021
Tunawakaribisha watu wote kujiunga na chuo chetu cha Afya (Pharmacy) hapa Ngaramtoni Arusha.
Zimebaki nafasi chache kwa ngazi ya cheti wahi mapema.
Masomo yataanza Tarehe 18/10/2021
------------------------------------------
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba:-
Simu: 0783199128
Email: [email protected]
--------------------------------------------
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the university
Telephone
Website
Address
Ngaramtoni, Opposite Police Station
Arusha
Opening Hours
| Monday | 07:30 - 17:00 |
| Tuesday | 07:30 - 17:00 |
| Wednesday | 07:30 - 17:00 |
| Thursday | 07:30 - 17:00 |
| Friday | 07:30 - 17:00 |