boundlesslifeministry

boundlesslifeministry

Share

03/05/2026

Kanuni sahihi zitakupa kutawala maisha yako. Kanuni za kiroho zina nguvu juu ya kanuni za kawaida. Tumia kanuni sahihi kwa wakati sahihi upate matokeo sahihi

03/05/2026

Malengo mazuri uliyonayo hayatatokea yenyewe, una sehemu ya kufanya kwa imani kwa msaada wa Mungu. Mungu amekupa kila unachohitaji ndani ya Kristo.
Amekupa kanuni - kanuni ndio zunaleta uhakikisho kuwa kitu kitatokea kwa kuwa kanuni hazibadiliki.
Fanyia kazu kanuni za ufalme kuzalisha uhalisia wa yale ambayo unayatamani.
Chochote utakachopanda kwa imani, utavuna. Imani inabebwa na matendo - tamka, zungumza, tenda kwa hekima sawasawa na malengo yako.

20/04/2026

Matarajio ni kile ambacho una uhakika kitatokea kwa sababu ya kanuni uliyotumia.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Arusha