Almak Nutrition
24/03/2025
📌 [𝙃𝙊𝙈𝙊𝙉𝙄]: 𝙈𝙪𝙝𝙞𝙢𝙪 𝙔𝙖 𝙏𝙚𝙨𝙩𝙤𝙨𝙩𝙚𝙧𝙤𝙣𝙚>>>
-ni homoni muhimu kwa afya ya kiume, kazi zake muhimu,
° Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
° Kusaidia katika uzalishaji wa MBEGU
° Kusaidia katika kudumisha misuli na nguvu za mwili
𝙔𝘼𝙋𝙄 𝙢𝙖𝙝𝙪𝙨𝙞 𝙎𝙖𝙝𝙞𝙝𝙞 𝙔𝙖 𝙏𝙚𝙨𝙩𝙤𝙨𝙩𝙚𝙧𝙤𝙣𝙚 𝙣𝙖 𝙆𝙪𝙠𝙤𝙨𝙖 𝙉𝙜𝙪𝙫𝙪 𝙯𝙖 𝙆𝙞𝙪𝙢𝙚...
-Testosterone ya chini inapunguza hamu ya kushiriki tendo
Ikiwa kiwango cha testosterone kipo chini, mwanaume anaweza kupoteza hamu ya kufanya mapenzi, hali inayoweza kuathiri uwezo wake wa kusimamisha uume.
-Testosterone ya chini inapunguza kemikali ya 𝙉𝙞𝙩𝙧𝙞𝙘 𝙤𝙭𝙞𝙙𝙚 inayosaidia mishipa ya damu kupanuka ili kuruhusu mtiririko mzuri wa damu kwenye uume.
𝙉𝙞𝙣𝙞 𝙐𝙛𝙖𝙣𝙮𝙚 𝙆𝙪𝙟𝙞𝙩𝙞𝙗𝙪 >>>
• Mazoezi ya mwili dakika 20 - 30 kwa siku
• Kupunguza/kuepuka ulaji wa WANGA usiku
• Kudhibiti UNENE na Stress
• Kupata muda wa kupumzika (Kulala) saa 7 hadi 8
• Kutumia 𝘽𝙀𝘿 𝙈𝘼𝙎𝙏𝙀𝙍 kwa maelekezo na usimamizi wangu.
Panga kutumia HUDUMA hii upate manufaa.
Ifuatilie kisha niambie unahitaji kuipata ukiwa MKOA gani? >>>
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Telephone
Address
Annex Mkabala Na Jengo La TECNO
Arusha
23103