Data Kubwa

Data Kubwa

Share

03/02/2026

K**a umekuwa ukifuatilia movie tofauti au series kutoka unyamwezini, basi sautii ya siongeni Masikioni mwako.

Mkalii amefungukaa safari yake ya kutangaza MOVIE, kuanzia mwaka wa 1990 ambapo wakati huo ilikuwa inamlazimu afanye matangazo kwa njia ya ( kutembea na gari la matangazo barabarani) Kisha baadae ndio aweze kutafsiri movie katika eneo husika ambalo amechagua au kwa watu ambao watakuwa wamelipia ili afanye kazi hiyo.. πŸ˜πŸ™Œ

Je umeanza kufuatilia movie zake ukiwa na umri gani..? πŸ˜πŸ™Œ Drop Comment yako hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’₯πŸ™Œ

FOLLOW ME .dizzonofficial

#

11/11/2025

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unaikumbuka hiii

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Arusha
12345