Derek Mkuu
18/11/2019
KWANINI VYAKULA VYA SASA HAVIMJENGI MWANAUME KAMILI?
Natambua changamoto mbalimbali za kiafya ambazo jamii imekua ikizipata.
Natumaini hata wewe kuna changamoto za akiafya uliwahipitia na ukashauriwa utumie vyakula aina flani ili uweze kuondokana na matatizo hayo.
Hata hivyo imekua vigumu sana katika siku za sasa kufanikiwa kutatua mtatizo ya kiafya kupitia vyakula kutokana na sababu mbalimbali ambazo nitakuelezea leo.
Vyakula tunavyokula vinatupatia nishati ,madini pamoja na vitamini.
Nishati huupa mwili nguvu ili uweze kufanya kazi za ndani na nje ya mwili.
Protein hujenga sehemu za mwili zilizopata hitilafu na kuimarisha mfumo wa ukuaji mwili.
Madini na vitamini ,huharakisha mchakato wa ufanisikazi wa mwili (chemical reaction),na kuimarisha mifumo ya mwili.
Unapokua na upungufu wa kiinilishe chochote ndani ya mwili unaweza sababisha utendaji kazi wa mwili ukazorota.
Hapo ndipo ukifanya vipimo unajigundua una upungufu wa lishe na kushauriwa uanze kula vyakula aina flani kwa wingi.
Ni kweli vyakula ndio asili ya viinilishe katika miili yetu.
Ikiwa na maana kua mimea hubeba viinilishe ambavyo tukila huwa tunaviingiza mwilini kisha kufanyiwa mchakato na kuwezesha mwili kufanya kazi zake.
Kila kiinilishe ndani ya mmea kina wakati wake kukomaa,
Kipo ambacho hupatikana kwa wingi zaidi wakati mmea ukiwa mbichi,
Viko ambavyo huwa vingi wakati mmea umekomaa na kuna viinilishe hupatikana kwa mida fulani kwa siku.
Kuna viinilishe ndani ya mmea hupatikana kwa wingi asubuhi kabla jua halijawaka, kuna vingine hupatikana jua la kati ya saa mbili mpaka saa nne asubuhi.
Viilishe vingine hupatikana mchana wakati wa jua kali,
Vingine hupatikana jioni kwenye jua la saa kumi mpaka kumi na mbili.
Vingine hupatikana mida ya usiku.
Ndio maana wazee wetu walikua na muda wa kuvuna dawa za mitishamba ila elimu za kikoloni zikatuambia huo ni ushirikina (mila potovu).
Ukweli ni kwamba walikua wanajua kila mti tiba yake upatikana kwa muda wa masaa gani.
Hivyo unaweza pewa ushuhuda na mtu kua mti flani umenisaidia kupona tatizo langu ,na wewe ukaenda kutumia mti huohuo na usipone, maana yake umeuvuna wakati sio sahihi.
Ndivyo hivyo ,siku hizi unaweza shauriwa kula aina flani ya vyakula ili uimarishe afya yako ila unajikuta haufanikiwi.
Sababu ziko nyingi za vyakula vya sasa kushindwa kufanya kazi sawa.
1. Ulimwaji wake hauzingatiwi.
Mfano unaweza lima mmea kwenye ardhi ya kichanga kumbe mmea huo unatakiwa kulimwa kwenye ardhi ya udongo wa mfinyanzi tena wenye mvua chache.
2. Uvunwaji wake,
Siku hizi vyakula vinavunwa vikiwa havijaiva sawasawa,maana yake vinavunwa vibichi na kuivia kwenye gari,
Matokeo yake unakula kushiba ila hakuna unachokiingiza ndani ya mwili maana mmea ulivunwa kabla viinilishe muhimu havijakomaa.
3. Au mme unavunwa umekomaa ila vinaanikwa katika jua ,
Kumbe mmea ule ulitakiwa kuanikwa kivulini (kuna baadhi ya mimea ukiiweka juani unaharibu viinilishe ndani yake).
4. Kuna baadhi ya vyakula hukomazwa kwa chemikali,hii ni mimea yote ambayo ukootesha mbegu zake hazioti.
Ukiona hivyo ujue hakuna unachokipata katika vyakula unavyokula.
Ndio maana wenzetu nchi zilizoendelea wameanzisha makampuni ambayo yanajihusisha na ulimaji wa mimeatiba (medicinal plants),
Ambayo hulimwa kwa vipimo kuanzia ardhi mpaka uvunwaji na usindikaji.
Katika usindikaji huchukuliwa viinilishe tu na kuwekwa katika mfumo maaluku wa powder au capsules.
Ndio hizi kampuni siku hizi wanauza supplements.
Ndio maana mtu akiwa na tatizo la kiafya hasa linalohusu upungufu wa virutubisho ,akitumia bidhaa hizo humpa nguvu na kuimarisha afya yake.
Hivyo virutubisho ni muhimu hata k**a mtu hana tatizo la upungufu tunatakiwa kutumia kujilinda.
Ila kupitia vyakula kwakweli tunatakiwa tuwe tunaangalia sana na kupata vyakula ambavyo vimevunwa kwa wakati husika.
Ndio maana zamani embe,ndizi,papai ,parachichi ,lilikua linaivia mtini, unaliona kabisa unalitungua likiwa limebeba viinilishe vyote na wewe kuviingiza mwilini.
Ila hivi sasa embe linavunwa bichi hata ukilila hauoni ladha ya embe ,hata linavyonukia ni tofauti.
Hii ndio sababu zilinifanya nianze kutafuta mitishamba mbalimbali duniani zenye kutibu maradhi na upungufu, mpaka leo natumia siri hii kila siku kujiweka salama na mwenye nguvu.
Siri hii (LSC +S) nimekua nikitoa kwa watu kadhaa sasa hasa kwa wanaume wenye changamoto katika kushiriki tendo la ndoa.
Endelea kujifunza zaidi kupitia ukurasa huu.
Like ,comment au share.
Karibu kwa ushauri zaidi
Simu namba; 0620378553
E-mail: [email protected]
16/11/2019
HATUA SAHIHI ZA KUTATUA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME!
Je,huyu ni wewe?
Umekua na changamoto ya kushiriki tendo la ndoa kikamilifu?
Nikiwa na maana kua unashindwa kudumu katika tendo kwa muda ambao mnajikuta wote (wewe na mwenzi wako) mnafikia kileleni na kufurahia.
Hali ambayo imekupelekea uanze kutafuta suluhisho la tatizo hilo.
Leo nakupa siri hii.
Usijiingize katika tiba kabla ya kutambua kwanza tatizo lako ni lipi hasa.
Endapo ukianza tiba ambayo hailengi chanzo cha tatizo lako utajikuta unapoteza muda na pesa zako bure.
Wakati mwingine unaweza ingia katika tiba isiolenga tatizo lako na matokeo yake ukajisababishia tatizo ambalo haukua nalo.
Na njia sahihi ya kutambua tatizo lako ni nini hasa,unatakiwa kufanya hivi;
Kwanza jichunguze ufanisi wako ukoje katika kushiriki tendo la ndoa,
Je,tatizo lako ni lipi kati ya haya;
1. Huna hamu ya kushiriki tendo la ndoa?,
2. Una hamu lakini huna msisimko wa kushiriki tendo pindi tu unapokua na mwanamke kutandani?
3. Au unakua na msisimko ila uume wako hausimami kikamilifu (unakua legelege),
4. Au tatizo lako unawahi kufika kileleni (yani unakua na premature ej*******on)?
5. Je,tatizo lako ni kushindwa kurudia tendo baada ya kukojoa mara ya kwanza?
Ukishajichunguza aina ya tatizo ulilonalo k**a nilivyo ainanisha hapo juu,
Hatua ya kwanza,
Fika maabara,chunguza vitu hivi;
1. Sukari (blood sugar),
2. Presha (blood pressure),
3. Pima Vichocheo hivi ,
-Testosterone ,
-Cortisol,
-Serotonin,
-Dopamine,
-Insulin,
-Nitric oxide.
4.Pima kiasi cha madini mwilini mwako hasa,
-Zinc,
-Potassium,
Majibu yako yatakupa chanzo cha tatizo lako,
K**a utakua na upungufu wa madini yeyote au uko na mvurugiko wa vichocheo vya mwili,
Tambua ni aina gani ya vichocheo haviko sawa,
K**a ni upungufu wa madini ,je, ni aina gani ya madini unaupungufu?
K**a hautakua na upungufu,
Angali afya yako iko sawa k**a uko na kisukari au presha ,anza kutibu kwanza kisukari (diabetes).
K**a hautakua na tatizo lolote la kiafya,
Fanya appointment na daktari ili aweze kukuchunguza k**a uko na tatizo la kisaikolojia.
Ukishajua chanzo cha tatizo lako hapo ndipo uanze kutafuta tiba ya tatizo hilo.
Usikimbilie tiba inayosema inatibu matatizo yote,
Tafuta tiba inayolenga chanzo cha tatizo lako.
Hata hivyo katika watu wengi ambao nimekua nikiwasaidia kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume wamekua wakishangaa utaratibu mpya ninaotumia na kufanikiwa.
Kumbuka hakuna tiba ya upungufu wa nguvu za kiume ila kuna tiba ya chanzo kinachokufanya usiwe na nguvu za kiume ,
K**a ni upungufu wa vichocheo au ni tatizo la kisaikolojia utatumia kanuni ya (LSC + S),
Hii imewasaidia watu wengi zaidi,asilimia kubwa ya upungufu wa nguvu za kiume unatokana na mvurugiko wa vichocheo pamoja na matatizo ya kisaikolojia.
Kwani bado haujaanza kuitekeleza kanuni hii?
Unaweza kuanza kuitekeleza leo hii na ukafanikiwa.
Unaweza kuwasiliana na mimi kwa simu namba 0620 378 553
Email; [email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha