Amos Wellness

Amos Wellness

Share

07/05/2020

AFYA YA MAUNGIO YA MIFUPA (JOINTS)

Watu wengi wenye umri wa miaka 40 na kuendelea hupata matatizo ya maungio ya mifupa. Hii husababishwa na jinsi tunavyoishi, kutopata lishe bora, kufanya mazoezi bila kuzingatia namna ya kulinda maungio, kufanya kazi nzito, kuwa na uzito mkubwa na mwili kupunguza, au kupoteza uwezo wake wa kutengeneza ute kwenye maungio ambayo inatokana na umri na sababu zingine za kiafya. Hii hupelekea kuwa na maumivu makali mpaka kushindwa kutembea au kusogeza baadhi ya viungo.

Inawezekana hata wewe umeshaanza kuzisikia athari za haya matatizo ila wengi hua wanagundua kwa kuchelewa sana sababu hatuna desturi ya kukagua afya zetu mara kwa mara. Ila pia inawezekana kuna mtu unamfahamu ambaye tayari ameanza kupata athari zake.

Wasiliana nasi Leo kupata ushauri Na suluhisho La changamoto yako SMS / call +255 684267909
Gusa link kuwasiliana nasi WhatsApp
https://wa.me/255684267909

21/03/2020

MWANAUME NI NGUVU
1. HUSAIDIA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME.
2.INAMSAIDIA MWANAUME ATOE MBEGU ZENYE AFYA TELE.
3. HUBORESHA UWEZO WA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA.
4. NI NZURI KWA AFYA YA TEZI DUME.
5. NZURI KWA HOMONI.
6. HAINA MADHARA YOYOTE KATIKA MWILI.

NOTE: HIVI NI VURUTUBISHO NA SIO DAWA KAZI YAKE KUBWA NI KWENDA KURISHA CELLS NA KUREJESHEA MAPUNGUFU TULIONAYO MWILINI.

POWERED BY MULTI-MACA
TUPO NCHI 165 DUNIANI NA IPO GLOBAL APROVED NA MAMLAKA YA VYAKULA NA DAWA

Matumizi yake:
Unakunywa vidonge viwili kwa siku.
Kopo moja Lina vidonge 60.
Wasiliana nasi sasa kupata huduma hii kwa WhatsApp/ Call +255684267909

05/02/2020

Argi+ ni bidhaa ambayo husaidia kwenye afya ya kila mfumo kwenye mwili wa binadamu. Ina L-Arginine ambayo husaidia kutengeneza gesi ya Nitric Oxide ambayo husaidia kutanua mishapa ya damu na kuruhusu damu kusafiri vizuri.

Bidhaa hii imethibitishwa na mwanasayansi aliyeshinda Nobel Prize kwenye utafiti juu ya uwezo wa Nitric Oxide kusaidia kuuweka msukumo wa damu kuwa vizuri.

Kwanini utumie Argi+

1. Argi+ itasaidia kwenye kuondoa uchafu mwilini kutokana na matunda ya berries na komamanga.

2. Itatanua mishipa ya damu na kurekebisha msukumo wa damu hivyo kusaidia afya ya moyo na magonjwa ya moyo pamoja na pressure.

3. Itasaidia kurekebisha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.

4. Itasaidia kwenye kujenga mifupa na misuli hasa hasa kwa wale wanaofanya mazoezi.

5. Kupunguza kiwango cha Chelesterol kwenye damu.

6. Huusaidia mwili kutengeneza homoni zinazopunguza kuzeeka kwa haraka kupita umri wako.

7. Husaidia kila mfumo wa mwili na hivyo kukupa afya njema na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.

MATUMIZI: Sachet moja kwenye 250ml za kinywaji chako cha Aloe Vera, Maji, Juice, Mtindi etc. Mara moja kwa siku.

05/02/2020

Changamoto Ya Macho Inawapata Watu Wengi Duniani Na Idadi Ya Watu Wanaoathirika Inategemewa Kukua Mara Mbili Ifikapo 2050. Hii Inatokana Na Kutopata Mlo Kamili Hasa Hasa Matunda Na Mboga Mboga.

FOREVER VISION ni Kirutubisho ambacho kina bilberry, lutein na zeaxanthin. Pia kina viondosha sumu na virutubisho vingine muhimu.

Bilberry ni mmea wa jadi, unasaidia kuweza kuona kawaida na kuongeza mzunguko wa damu kwenye macho.

Lutein, ni carotenoid inayojulikana na inapatikana kwenye mbomboga na matunda mengi. Inasaidia kulinda retina ya jicho.

Zeaxanthin na Astaxanthin ni carotenoids muhimu kwenye afya ya macho kwa ujumla hasa hasa retina (macular health).

Kuelewa zaidi juu ya Carotenoids unaweza kupitia maelezo kwenye link hii...
http://www.livescience.com/52487-carotenoids.html

Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kwa +255684267909

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Arusha

Opening Hours

Monday 06:00 - 21:00
Tuesday 06:00 - 21:00
Wednesday 06:00 - 21:00
Thursday 06:00 - 21:00
Friday 06:00 - 21:00
Saturday 06:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 21:00