Queen Gee Podcast
08/05/2026
Another Chapter 🥂 Still Writing The Story… Happy Birthday To Me 🎉🎂
28/04/2026
Nimewawahi Au Tujaribu Tena Mwezi Ujao? 😅😅
Umefanya Budget Mwezi Huu? Umepangilia Fedha Zako? Au Tukuache Unazipata Kwa Shida Sana.
🚀Nakufundisha Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule💵💵
Coach Gee💚
21/04/2026
Labda Unaogopa Kujitathmini, Labda Hujui Uanzie Wapi, Inawezekana Tu Pia Unakwepa Kujua Kiini Cha Tatizo Kwasababu Eti Mambo Mengine Ni Kheri Usijue..
📌Kuna Mambo Ni Kheri Usiyajue Ila Sio Hali Yako Kifedha, Hii Lazima Uijue, Hii Lazima Ujue Shida Iko Wapi Na Nini Ufanye, Hizo Namba Lazima Uzijue Na Kuzifahamu K**a Wimbo Wa Taifa, Hio Ndio Siri Ya Kutoboa & Kuwa Na Hali Nzuri Kifedha 💰
📌Kukwepa Ku Deal Na Issue Zako Kifedha Kunakuchelewesha, Inawezekana Hutaki Ku Deal Mwenyewe, Ndio Sababu Tuna 101 Session📝
📌Kwenye 101 Session Tuna Deal Na Hali Yako Kifedha Personally Kwasababu Changamoto Zetu Hazifanani, Na Ukilipia Session Wiki Hii Kuna Bei Ya Offer
📩DM Neno “101” Kupata Utaratibu Wa Kubook Session Yako Leo Tutatue Hiyo Situation Tubadilishe Hali Tukuweke Kwenye Uelekeo Mzuri Kifedha💵💵
🚀NAKUFUNDISHA YALE WALIYOSAHAU KUKUFUNDISHA SHULE 💵💵💵💵
Coach Gee💚
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha