Mwallah Accessories point

Mwallah Accessories point

Share

24/10/2020

Maisha ni daraja Kati ya jamii na na mwenendo wako binafsi
Hivyo huna Budi kufanya yapendezayo watu katika jamii ukikosea haina maana ww ni mbaya ama hujui
Lahashaaa,,,!!!! Wewe bado thaman yako iko
Kuliko tathimin ya maisha yako tushapewa daraja la kurejea na kusahihisha wapendwa hakuna nafsi ya mwanadam yeyote iliyopo sahihi ndio maana kila mwanadam hufanya kitubio
Maisha hasiumize nafsi zetu
Tupendane ndio amri kubwa kwetu

Want your business to be the top-listed Autos & Automotive Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha
0000