Kidia One Fans
24/02/2025
Baada ya Kazi zako mchana kutwa Sasa
Usafiri wa usiku unakungojea...
saa mbili kamili usiku(20:00) kutokea Nairobi Kenya
Saa tano kamili (23:00) usiku kutokea namanga
Saa saba kamili usiku(01:00) kutokea arusha
Saa nane na nusu usiku(02:30) kutokea moshi
Wote kwa pamoja tukielekea Dar es salaam.
Vilevile kutokea Dar es salaam ni saa mbili usiku
Moshi ni saa kumi na nusu alfajiri
Arusha ni saa kumi na mbili kamili asubuhi
Namanga ni saa moja na nusu asubuhi tukielekea nairobi.
KWA ABIRIA WOTE WANAOVUKA MPAKA(BORDER) NI LAZIMA UWE NA
[1]. PASSPORT(temporary/Permanent)
[2].KADI YA HOMA YA MANJANO(Yellow fever).
Tembelea tovuti(Website) yetu www.kidiaoneexpress.com kupata tiketi yako au piga simu namba
+254720901997 NAIROBI
+255757575786 ARUSHA
+255757575740 DAR ES SALAAM.
02/11/2024
Unapenda siti ipi?
Tuambie kwenye comment
02/11/2024
Ratiba ya kutokea dar es salaam leo jumamosi...
Dar Es Salaam☆Arusha☆Nairobi saa kumi na mbili asubuhi T 371 DWL (LUXURY BUS)
Dar Es Salaam☆Arusha☆Nairobi Saa mbili kamili Usiku T 104 EJL(LUXURY BUS)
Dar Es Salaam☆Moshi☆Arusha Saa Nne kamili Usiku T 354 DTC(LUXURY BUS)
Ratiba ya kutoka Nairobi Na Arusha leo Jumamosi...
Nairobi☆Namanga☆Arusha☆Dar Es Salaam Saa kumi na mbili asubuhi T 355 DTC(LUXURY BUS)
Nairobi☆Namanga☆Arusha☆Dar Es Salaam Saa mbili kamili usiku T 105 EJL (LUXURY BUS)
Arusha☆Moshi☆Dar Es Salaam Saa moja kamili usiku T 451 DCB (SEMI LUXURY BUS)
kata tiketi online kupitia tovuti yetu ya www.kidiaoneexpress.com
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Culinary Team
Attire
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha