Nct arusha
23/05/2024
Pumzika kwa amani Bi. PERPETUA ISHIKA
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Zenith Wilfred, Mayanja Changunema
31/01/2024
Wanafunzi Wa Culinary Art Level 6 kutoka katika kampasi ya Bustani walitembelea Sky Chef kujifunza Module ya Cook and Chill kwenye Somo La World Gastronomy.
Tunatoa pongezi za shukrani kwa Uongozi WA Sky Chef kwa kuwapokea wanafunzi na kupitia wawezeshaji wake Chef Mkuu Craig kutoka South Africa, Director Wa Quality Assurance na Head of Food Security and Hygiene waliotoa somo kwa wanafunzi
16/03/2022
Tutakukumbuka daima kipenzi cha wengi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Sakina
Arusha