Keymovi3HD

Keymovi3HD

Share

18/02/2026

Stranger things the final battle Ai

30/12/2025

```M O V I E | 2025 |

| ZOOTOPIA 2 |```

| ANIMATION | | ADVENTURE |
:
Rate. 7.6/10.
:
Storyline.
:
Brave rabbit cop Judy Hopps and her friend, the fox Nick Wilde, team up again to crack a new case, the most perilous and intricate of their careers.

16/09/2025

Matt Reeves' The Batman spinoff series The Penguin, starring Colin Farrell and Cristin Milioti, won 9 awards at this year's Emmys.

15/09/2025

2015, filamu ya kipekee iitwayo “100 Years” ilikamilika rasmi, lakini haitazinduliwa hadi tarehe 18 Novemba, mwaka 2115, miaka tisini baadaye.

Taarifa za filamu hiyo zimefichwa sana lakini mpaka sasa yamevuja majina manne tu ya Waigizaji katika filamu hiyo ambao ni John Malkovich, Shuya Chang, Gedeon Manlulu na Marko Zaror.

Filamu imeongozwa na Robert Rodriguez, ikiwa ni sehemu ya ushirikiano wa ubunifu na kampuni ya vinywaji vya kifahari Louis XIII Cognac, inayojulikana kwa kutengeneza pombe inayochukua karne moja kukomaa kabla ya kunywewa. Filamu ya “100 Years” imehifadhiwa kwenye ulinzi mkali na inaaminika hakuna atakayebahatika kuiona filamu hii mpaka hapo mwaka 2115.

Tiketi 1,000 tu za chuma zilitolewa kwa watu wachache duniani, zikiwa na dhamira ya kurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine ili warithi wao waweze kuhudhuria onyesho hilo la kihistoria mnamo mwaka 2115.

Watu kutoka maeneo mbalimbali duniani wanaonesha hamu ya kutazama filamu hii kabla ya kufika mwaka.

09/09/2025
Want your business to be the top-listed Shop in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Arusha