renea_schools_arusha

renea_schools_arusha

Share

Photos from renea_schools_arusha's post 18/03/2026

They are learning

13/11/2025

Karibu Shule za Renea! 🎓
Fomu za udahili zipo sasa – jiunge na jumuiya yetu ya elimu bora na malezi bora.

Tayari kukupa mazingira mazuri, walimu wenye ujuzi, na mafunzo yanayokua kiakili na kimtazamo.

📞 Wasiliana nasi:
0763 000 064 – Ofisi Kuu
0747 973 333 – Mkuu wa Shule ya Wavulana
0747 109 333 – Mkuu wa Shule ya Wasichana
0746 574 767 – Mkuu wa Shule ya Msingi

🌐 Kwa maelezo zaidi:
www.reneasec.com

13/11/2025

Udahili wa Kidato cha Kwanza 2026 umefunguliwa! 🌟
Karibu Renea Girls – shule ya wasichana iliyopo Njiro, Arusha, inayotoa elimu bora kwa michepuo ya Sayansi, Biashara, na Sanaa.
Tunamwandaa kila mwanafunzi kuwa kiongozi, mbunifu, na mtaalamu wa kesho. 👩🏽‍🎓
Jiunge nasi ujifunze katika mazingira rafiki, salama na yenye walimu wenye kujali maendeleo yako.

📞 Wasiliana nasi leo ujue zaidi kuhusu udahili!

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Arusha