greenafya

greenafya

Share

03/08/2021

Kushuka kwa kingamwili huongeza uwezekano wa kupata fangasi.

1. Mabadiliko ya homoni katika kipindi cha upevushwaji wa mayai.

2. Upungufu wa kinga mwilini: k**a wenye
kansa kisukari ukimwi nk.

3. vidonda sehemu za siri,

kujia pulizia marashi sehemu za siri

Kula vitu vyenye sukar kwa wingi

5. Mazingira ya joto au kuvaa nguo nyingi wakat wa joto

Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya fangasi.

1.kula mlo kamili

2. Kunywa maji mengi angalau glasi nane kwa siku.

3. Epuka matumizi makali ya pombe nk.

5. Jitawaze kuanzia mbele kwenda nyuma.

6. Punguza kucha ndefu

8. Epuka kujipulizia pafyumu kwenye sehemu za siri

Tuna mengi ya kuji funza nawe endelea tembelea kurasa zetu like comment na share

Kwa msaada zaidi wasiliana kwa no 0685 716 621

Afya.

31/07/2021

PID ni ugonjwa unaohitaji daktari makini sana katika kuchunguza dalili zake.

Uchunguzi wake unahusisha dalili na vipimo vya kitalaamu kutoka kwa daktari mbobezi wa magonjwa ya zinaa (Gynaecoligist).

Daktari, atakuuliza maswali juu ya historia ya tatizo lako pamoja ushiriki wa tendo la ndoa.

Hatua inayofuata , Daktari atakufanyia uchunguzi katika mlango wa uzazi (physical examination) ili kujua k**a kuna uvimbe wowote au k**a kuna uchafu unaotoka.

Unaweza pata wakati mgumu kidogo katika uchunguzi huu ila vumilia tu.

Mara nyingi daktari huchukua sample ya uchafu unaotoka na kupeleka maabara kwaajili ya uchunguzi zaidi , kugundua aina ya bacteria na tabia zake.

Endapo k**a majibu yataonesha maambukizi ya magonjwa k**a ya kisonono (chlamydia & gonorrhoea)...
...majibu hayo yatakua yana inapa nguvu ile dhana ya kua mgonjwa yuko na PID.

Lakini watu wengi majibu huwa hayaaoneshi moja kwa moja maambukizi ya PID..
...hivyo majibu yanayotokana sample ya uchafu hayawezi kuhitimisha kua hauna maambukizi ya PID

Kwakua ni vigumu kugundua maambukizi ya PID,

Baadhi vipimo vya dalili zingine zaidi vinaweza hitajika ili kujua k**a kuna dalili za maambukizi mengine.

Vipimo hivyo ni k**a vile;

1. Vipimo vya damu kubwa (blood test),
2. Vipimo vya mkojo (urine test),
3. Vipimo vya mimba (pregnancy test)

Pia , inapobidi uchunguzi kupitia kipimo cha ultrasound vinaweza fanyika

Pia k**a hali itakua mbaya sana na dalili hazionekani, basi utafanyiwa operation ndogo (laporoscopy) ,....
... juu ya kinena , kisha Daktari ataingiza mrija wenye camera , ili kuchunguza kwa kina ndani

Pia anaweza chukua sample ya tissue kwaajili ya uchunguzi zaidi.

Kwa majibu zaidi fika kituo cha afya , uweze kupata vipimo na majibu sahihi juu ya afya yako.

Endelea kufuatilia zaidi ukurasa huu uzidi kujifunza.

Kwa maswali, maoni au maalezo zaidi piga simu

0685817621

30/07/2021

FAHAMU!: Ugonjwa Wa PID.

Neno PID ni kifupi cha neno Pelvic Inflammatory Disease.

Haya ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke...
.viungo hivyo ni mirija ya uzazi (Fallopian tubes)...
...via vya mayai (ovaries), mlango wa njia ya uzazi (cervics) na kuta za mfumo wa uzazi (uterus).

Maambukizi haya husababishwa na aina mbalimbali za bacteria sawa na wale wanaosababisha magonjwa ya kisonono na kaswende.

Utofauti wake ni kwamba, maambukizi haya ya magonjwa ya ngono yanapozidi kua sugu.....
huhamia katika viungo vya ndani kabisa vya uzazi (pelvis) na hatimae huhamia katika damu.

Ugonjwa huu ni hatari kwa afya, hivyo ukijihisi uko na dalili wahi hospitali ukafanyiwe uchunguzi mapema.

Athari za ugonjwa huu usipodhibitiwa mapema ni hizi;

↔Kushindwa kushika mimba (infertilty),

↔Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy).

↔Maumivu makali ya tumbo.

Maambukizi huenezwa kwa njia ya tendo la ndoa,

Mambo ya kuzingatia katika kujikinga dhidi ya ugonjwa huu,;

↔Epuka kushiriki tendo la ndoa na mtu usiemjua bila kujikinga,

↔Epuka kua na washirika wawili katika mahusiano yako ya kimapenzi.

↔Tumia njia salama ya uzazi chini ya ushauri wa daktari.

↔Ukienda hajakubwa, anza kujisafisha njia ya mkojo kisha umalizie na njia ya hajakubwa.

↔Fanya vipimo na jitibu dalili zote za magonjwa ya ngono ili kuepuka maambukizi zaidi.

***
Tuna mengi ya kujifunza na wewe endelea kufuatilia ukurasa wetu, like, share na comment.

Kwa ushauri zaidi piga simu namba 0685716621

©Greenafya

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Arusha
23301