Covenant Home For All Nations

Covenant Home For All Nations

Share

07/04/2026

Neema si kibali cha kuendelea katika dhambi,Bali ni nafasi ya kurejea,usipoitumia leo kesho inaweza isiwepo

03/04/2026

Wengi wetu tuna roho ya kudharau watumishi wa Mungu,tukidhani tunajua zaidi kwa sababu ya mafanikio ya dunia Mungu hutumia watumishi wake kutuongoza.ukichagua kutii na kusikiliza, mema yatakufuata ,lakini ukipuuza na kubeza,matokeo yake si mazuri

23/03/2026

HEKIMA PROPHET S.G WILLIAM PRINCE
Maneno yanaweza kubomoa au kujenga,chagua kusikiliza Yale yanayokujenga hekima

23/03/2026

Mungu akimfunua adui mbele ya macho yako,usimpe nafasi ya kumfanya rafiki kuna nyakati unapitia magumu hadi unahisi k**a umeachwa,lakini huo si mwisho wako.Adui ana muda wake wa kujisifu,lakini ushindi wa Mungu haupotei kamwe

20/03/2026

Kuna vita nyingi hazipigwi kwa macho zinapigwa kwa Siri,watu wengine hawataonekane k**a maadui,watakuchekea,watakaa Karibu na wewe lakini moyoni wana mipango yao ya Siri wa mungu ya kiroho

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Moshono-PPF Road
Arusha