Nirok Media

Nirok  Media

Share

07/05/2022

JUMAMOSI 07/05/2022
NBC PREMIER LEAGUE
14:00 MCHN
GEITA GOLD FC
VS
KAGERA SUGAR FC

06/02/2022

Serikali nchini uganda imepeleka mswada bunge wa kupitisha sheria kali kwa wale wote wasio chanjwa ni kulipa faini ya shiling mil 4 za uganda au kufungwa miezi 6 jela, au vyote kwa pamoja. Lakin mswada huo umeonekana kupingwa na waganda ndani na hata nje ya bunge, wakitaka serikali ije na mbinu nyengine sio hy

05/02/2022

MATUKIO:Kushamiri kwa matukio ya ukatili kijinsia katika kijiji cha shirimatunda wilaya ya hai , mkoani kilimanjaro, kwa wanawake kuwapiga wanaume zao, kumepelekea wazee wa kijiji hiko kuomba msaada kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu kwenda kutoa elimu kwa wanawake wenye kipato.

04/02/2022

Hospitali ya Kairuki,ikiendelea kuadhimisha miaka 23 toka kifo cha muhasisi wake, prof.Hurbet kairuki, kupitia kwa mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo (Asser mchomvu),amesema kwamba hospitali hiyo itatoa huduma ya uchunguzi wa afya ya macho bila malipo hususa ni kwa madereva wa magari, lengo lakufanya hvy nikuunga jitihada za serekali za kupunguza ajali za barabarani, pia ikiambatana na huduma ya uchunguzi wa saratan ya matiti,tezi dume, shinikizo la damu , kisukari na pamoja na uchangiaji damu. Huduma hizi zitatolewa mpaka 6 february 2022 katika tawi lao la mbezi luis (magufuli bus stand), bila malipo.

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Nirokmedia222@gmail. Com
Arusha